Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

Ila nimekuja gundua napoteza mda na hio habari ni ya 2014 huko

Iran amekuwa akissuport vikundi vya waasi kama hamas na hizbullah kuishambulia israel ni sawa ila israel akifanya ni kosa ila akili za watetezi warabu mnashida sana
 
Watakufaje? Uharibifu wote ule gaza mmeshindwa kumaliza hata 1% ya wapalestina ndio sembuse wote wafe?
Nasrma ukoo wako wote mtakufa bila kuona so-called Palestine state!!!

Ni hivi bila uhuru wa palestina hakutowahi kuwepo amani Israel
Toka lini magaidi wakataka au Wanataka Amani?

Gaza na Judea waliachiwa wawe huru huko matokeo yake walileta Oct 07,2023!!

Israel ina uwezo wa kulinda mipaka yake na yeyote atakaye jaribu kuhatarisha usalama wa nchi hiyo atakuwa anajichimbia kaburi yeye mwenyewe!!

Toka Oct 07,2023 Israel ni i Kaburi la magaidi!! Wanaangamizwa kila siku!!
 
Eti huyu ndio anataka kua rais wa nchi 🤣🤣🤣

Wewe bata elewa Israel ni kambi kubwa ya kijeshi ya marekani kuliko kambi zote
 
Kivipi mkuu? Kwani Eneo si alipewa Abraham? Kwanini lihodhiwe na Israel pekee au umesahau Abraham pia aligawa ardhi kwa watoto wengine wakiume 5 aliozaa na Keturah?
Hii ramani mpya alipewa Musa kabla hawajaingia kaanani. Akatajia mipaka ya nchi watakayotakiwa kuichukua inafika hafi maeneo ya Iraq. Kitabu cha kutoka.
Ibrahim alinunua kashamba tu kadogo
 

Denis Robert Shughuru, wapinga MOSSAD wasije watakufuatilia maana Wana elements za kigaidi usije ukadhulika
 
Mbona unaruka kipengele cha WAAFRIKA wenzetu kufanywa MAHANITHI kwa sindano za wayahudi pindi wakifika Israel!! Na imechangia kuua kizazi chao kwa 50%.

Una maoni gani juu ya hili?
 
Hii ramani mpya alipewa Musa kabla hawajaingia kaanani. Akatajia mipaka ya nchi watakayotakiwa kuichukua inafika hafi maeneo ya Iraq. Kitabu cha kutoka.
Ibrahim alinunua kashamba tu kadogo
Kwahiyo Musa alipewa ardhi aliyokwisha pewa Abraham? Maana yake urithi wa Abraham kwa watoto wake 6 ulikuja kubatilishwa na Mungu? Maana yake Mungu alipindua AHADI yake kwa Abraham?

I'm confused
 
Ila nimekuja gundua napoteza mda na hio habari ni ya 2014 huko
Ndio ni ya 2014 sababu Al sharaa ameanza kupigana Syria tokea 2011 sasa ulitaka aanze kufadhiliwa lini? Kwahiyo technically Israel imefadhili Al Qaeda na ISIS kupambana na Assad!!

Sasa kwanini muwaite Iran magaidi kama Israel nayo inafadhili magaidi hatari kama Al Qaeda na ISIS? umeona unafiki wenu eeh
Iran amekuwa akissuport vikundi vya waasi kama hamas na hizbullah kuishambulia israel ni sawa ila israel akifanya ni kosa ila akili za watetezi warabu mnashida sana
Hujajibu swali? Mmewaita Iran wafadhili wa ugaidi, sasa kwanini Israel hawasemwi wanafadhili ugaidi? Hata wewe hapo umeshindwa kukiri.

Fikriia Syria inaongozwa na Al qaeda ila imeondolewa vikwazo ila Iran wanaonekana ni magaidi. Hivi kuna kundi linaua watu dunia nzima kama Al qaeda?

Udini tu umekujaa mnashindwa kuongea ukweli kisa mahaba ya kidini. Yaani wewe leo hii ni wa kutetea wafadhili wa Al Qaeda? Aisee kazi kweli kweli.
 

Waafrika wenzako huko wamefanywa mahanithi we unacheka cheka tu humu. Nenda na wewe kama hawajakuhasi. Wewe wanakuona nyani tu cha ajabu ndio kila kukicha kuwatetea humu
 
Kwahiyo Musa alipewa ardhi aliyokwisha pewa Abraham? Maana yake urithi wa Abraham kwa watoto wake 6 ulikuja kubatilishwa na Mungu? Maana yake Mungu alipindua AHADI yake kwa Abraham?

I'm confused
Kutoka 23: 31
Mipaka ya nchi yenu itakuwa kutoka bahari ya Shamu hadi bahari ya Mediteranea, na kutoka jangwani mpaka mto Eufrate, maana nitawatia wakazi wa nchi hiyo mikononi mwenu, nanyi mtawafukuza wawaondoke.


Hiki ndicho alichowaambia wamiliki na akawatajia mipaka wana wa Israel. Hako kadogo walichochukua enzi za Yoshua ni kwa sababu ya Imani ndogo maana aliwaambia kila mtakapokanyaka katika boundary hiyo patakuwa pakwenu.

Eneo ambalo alipaswa kumiliki Ibrahimu hadi anakufa alikuwa bado hajalimiliki lote ndio maana project ikahamia kwa mtoto wa ahadi na uzao wake Isaka na Israel Au Yakobo
 

Tupe ushahidi Mungu alitamka hayo maneno ??


Kutoka 23:31 inazungumzia ahadi ya eneo, si uthibitisho kwamba kila eneo hilo liliwahi kumilikiwa kikamilifu na Israeli. Biblia yenyewe inaonyesha mipaka hiyo haikutekelezwa kikamilifu wakati wote.

Na kama unadai Mungu aliwapa eneo hilo lote, leta aya inayoonyesha Yoshua alimiliki eneo lote kutoka Bahari ya Shamu hadi Frati. Usichanganye ahadi, mipaka iliyotajwa, na umiliki halisi wa kihistoria.
 
Sijaelewa unapingana na maelekezo ya Mungu au unashabikia udhaifu wa waliopewa hiyo mipaka kushindwa kuwafukuza wakazi na kuyamiliki wakaishia kuona nao.
Mbona maelezo ya Mungu yamenyooka sana hapo juu. Elena uo
 
Ndio magaidi jiulize kwanini mpaka wa egypt na gaza wanakotawala hamas uko hivi
View attachment 3677491
Kumbuka hata viongozi wa nchi za kiarabu wako waliotambua hamas kama kundi la kigaidi akiwemo Rais wa sasa wa egypt
Huo ukuta upo hapo sababu Israel anataka uwe hivyo wapalestina wasisaidiwe, wapalestina wangekua wamepakana na Nchi kama Yemen siku nyingi tu kingeshanuka hapo, unafkiri kwanini wapalestina wana silaha za kizamani na wanatumia tools ambazo zimeshapitwa na wakati.
 
Kuna jamaa kwenye video za Zamani Isis/Al qaeda alikua wakikata watu vichwa anapost anapiga navyo selfie, Leo naye ana cheo kikubwa Serikali ya Syria marafiki wa Trump Ambao hawakauki white house
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…