Nimesema Ufaransa kaenda kama. mshiriki, rais anajiendea tu hata mikutano anayoweza kutuma watu.Naona kwa sasa umeishiwa hoja. Umesema kuwa Samia anaenda tu kwenye mikutano kama mshiriki
Kwenye hayo mataifa alienda kama mhudhuriaji au ilikuwa ni state visit?
Umeanza kujitoa ufahamu sasa
Kwenye hiyo list nimetaja Ufaransa?Nimesema Ufaransa kaenda kama. mshiriki, rais anajiendea tu hata mikutano anayoweza kutuma watu
Hata kabla ya state visit, nimekuuliza Samia anasimamia ajenda gani kubwa duniani? Ana advantage kubwa kweli rais pekee mwanamke wa Afrika, akisema dunia inamsikiliza.Kipaumbele gani mzee cha state visit white house au?
Hiki kwenu ni kipaumbele?
Mimi nimekwambia Ufaransa nimesema mimi, wewe unakanusha kwa kusema hujataja.Kwenye hiyo list nimetaja Ufaransa?
Kumbe muda wote hapa tunashindwa kuelewana kumbe lengo lako ni Samia akitoka watu wa-notice?Ukiondoa WaTanzania na Waturuki, nani ka notice Samia kaenda Uturuki?
Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?Ruto kaenda Marekani, dunia nzima imemuwekea macho.
Tuambie sababu za safari zake kutokuwa na maana tuanze na ya China, India malizia na ya Uturuki.Samia anasafiri sana, lakini safari zake hazionekani umuhimu wake.
Tutajie nchi zingingine ambazo Ruto amefanya ziara kabla ya MarekaniRuto anajua ukitaka kumuua nyoka mpige kichwani. Ukitaka kula nguruwe chagua mnono. Sio unakwenda vinchi vya uchochoroni Uturuki huko na wenyewe wana njaa tu kama wewe wanatafuta jinsi ya kuondoka kwenye matatizo yao.
"Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?"Kumbe muda wote hapa tunashindwa kuelewana kumbe lengo lako ni Samia akitoka watu wa-notice?
Swali la awali la mtoa mada hili hapa.Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?
Wewe na mtoa mada wote mko uwezobwenu wa kufikiri ni mdogo ndio maana mnafanana kwa hoja dhaifu sanaMtoa mada hajaona hizo safari za Samia ni kupewa kipaumbele. Rightly so. Kaona safari ya Ruto White House ni center stage ya
Hazina maana kwa sababu Samia ni mshamba, anasafiri kama trader bila big picture agenda.Tuambie sababu za safari zake kutokuwa na maana tuanze na ya China, India malizia na ya Uturuki.
Tiririka hoja zenye mashiko
Ndio maana mara kwa mara nimekuwa nikiuliza state visit white house ndio kipaumbele chenu?"Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?"
Muda wote nakunukulia swali la awali la mtoa mada, unashindwa kusoma kwa sababu ya uzembe wa asili au unafanya jitihada za ziada kutoelewa?
Weka big picture agenda ya Samia hapa kama unaielewa.Wewe na mtoa mada wote mko uwezobwenu wa kufikiri ni mdogo ndio maana mnafanana kwa hoja dhaifu sana
Nimekuuliza hapa taja kwa nini hizo state visit za Samia hazina faida. Naona hauna hoja yoyote ya msingiHazina maana kwa sababu Samia ni mshamba, anasafiri kama trader bila big picture agenda.
Nimekwambia weka hapa bog picture agenda ya Samia ni nini, umeshindwa kuiweka. Huijui. Hata Samia mwenyewe haijui. Hana.
Wewe kama una hoja tofauti iweke hapa tuichambue.
Eleza kwa nini ziara za Samia hazina umuhimu?Weka big picture agenda ya Samia hapa kama unaielewa.
Mpaka sasa hujaiweka bado.
Weka big picture agenda ya Samia katika geopolitics.Ndio maana mara kwa mara nimekuwa nikiuliza state visit white house ndio kipaumbele chenu?
That's trading. Rais anatakiwa awe na big picture agenda, meta agenda. Cross cutting agenda. Kusaini mikataba ya kibiashara zezeta yeyote anaweza.Nimekuuliza hapa taja kwa nini hizo state visit za Samia hazina faida. Naona hauna hoja yoyote ya msingi
Fuatilia mikataba na makubaliano waliyosaini na hayo mataifa ndio utaelewa
Kea sababu Samia mshamba, hajui anataka nini. Hana big picture agenda. Anaenda kusaini MoUs za biashara tu.Eleza kwa nini ziara za Samia hazina umuhimu?
Amesimamia kwenye hilo mpaka sasa mataifa mangapi ya Africa yamemuunga mkono?Ruto anasimamia Africa kuondoka kwenye dollar dependency. Watu wa nchi za Africa wafanye biashara bila kutumia US dollar. Settlement ifanyike Addis Ababa, badala ya New York City