Ukiangalia kichapo kinachotolewa na Israel utagundua Russia ni overrated sana

Ila maisha yanabadilika sana. Hivi inakuwaje mtu kutwa anashabikia mauaji yanayotokea sehemu fulani? Ni roho mbaya, uchawi au ujinga?

Yani kabisa unaandika tunataka kichapo sio makelele, hujisikii hata vibaya japo kidogo? Unahisi hawa wanaokufa hawana roho, au hawana ndugu na familia? Wewe umewahi kufiwa mkuu na kupoteza wapendwa wako, ulijisikiaje?

Dunia kwa namna yoyote inabidi iwe sehemu salama ya kuishi, kukaa bonyokwa na kuanza kushabikia mauaji yanayotokea Iran au Israel au Palestina au Ukraine ni ujinga sana, unahisi hayakuhusu sio? Tambua mambo yakichachaa huko unakoona hakukuhusu HATA WEWE HAUTAKUWA SALAMA.

Haijalishi anakufa mwarabu, muisilami, muisraeli, mwafrika au baniani ni lazima binadamu tuwe na utu. Ni muhimu tujitofautishe na wanyama japo kwa akili tu
Hii kitu huwa inanishangaza sana, yaan ukiingia hii thread unakutana na vijana wa hovyo ambao wamegueza vita vinavyosababisha vifo vya mamilioni ya watu kama ushabiki wa michezo

Wengi ni vijana wa juzi ambao hawajui hata baruti inasikikaje.
 
LEBANON,YEMEN,GAZA(PALESTINA) VIINCHI VIDOGO,MASIKINI NA DHAIFU. HATA SISI TANZANIA TUNAUWEZO WA KUVITANDIKA. HEZBULAH,HAMAS VIKUNDI VYA VIJANA WAVUTA BANGI WA KILEBANONI NA KIPALESTINA WALIOJIKUSANYA KUPAMBANA NA ISRAEL WAKIWA NA SILAHA DHAIFU NA MAFUNZO YA KAWAIDA YAANI BASIC HATA JWTZ INAWEZA KUWATANDIKA VIZURI TU. UKRAINE NCHI KUBWA YENYE UCHUMI MKUBWA KULIKO YEMEN,PALESTINA NA LEBANON IKIWA NA SAPOTI YA NCHI 30 NYUMA YAKE AKIWEMO MAREKANI,UINGEREZA,UFARANSA,UJERUMANI,ITALY N.K NA BADO ANACHAPIKA TU.Mkuu hezbollah ni jeshi kubwa sana
 
LEBANON,YEMEN,GAZA(PALESTINA) VIINCHI VIDOGO,MASIKINI NA DHAIFU. HATA SISI TANZANIA TUNAUWEZO WA KUVITANDIKA. HEZBULAH,HAMAS VIKUNDI VYA VIJANA WAVUTA BANGI WA KILEBANONI NA KIPALESTINA WALIOJIKUSANYA KUPAMBANA NA ISRAEL WAKIWA NA SILAHA DHAIFU NA MAFUNZO YA KAWAIDA YAANI BASIC HATA JWTZ INAWEZA KUWATANDIKA VIZURI TU. UKRAINE NCHI KUBWA YENYE UCHUMI MKUBWA KULIKO YEMEN,PALESTINA NA LEBANON IKIWA NA SAPOTI YA NCHI 30 NYUMA YAKE AKIWEMO MAREKANI,UINGEREZA,UFARANSA,UJERUMANI,ITALY N.K NA BADO ANACHAPIKA TU.
Very correct, mleta mada bado hajakuwa ndio maana kashindwa kutofautisha hao wawili
 
Ushajiuliza ni vipi kama Urusi angekuwa anawasaidia washirika wake moja kwa moja pale mashariki ya kati, kama Marekani anavyofanya ni kitu gani kingetokea? Unadhani Israel angekuwa anatamba kama anavyotamba leo?
 
ALPHA, KAJIFUNZE KWANZA KUANDIKA THEN URUDI TENA SIO "MALALIA" NI "MALARIA" OMEGA, ACHA KUSHIKIWA AKILI KUWA MTU HURU MWENYE FIKRA HURU.
😂

Mkuu, umetisha ila unahatari, unatumia jina tukufu kwenye mambo yasiyo na maana
 
HIVI UNAFAHAMU KUWA BILA MAREKANI HAKUNA ISRAEL? KILA MWAKA ROBO TATU YA BAJETI YA NCHI YA ISRAEL ANATOA MAREKANI? SILAHA ZOTE NZITO NZITO NA ZA MAANA ANAPEWA NA MAREKANI? HIVI UNAFAHAMU KUNA BAADHI YA SILAHA ISRAEL ANANUNUA URUSI? HIVI UNAFAHAMU HADI SASA HIVI ISRAEL ANAPIGANA NA VIJANA WA MTAANI TU AMBAO WANAJUA KUTUMIA BUNDUKI TU TENA WAKIWA HAWANA MAFUNZO YA KIJESHI? NA BADO ANATOLEWA KAMASI?
Sema ninahisi yaliyoandikwa kwenye Biblia yakawa na ukweli 100%. Kuwa atakayekubariki nitambariki na atakayekulaani nitamlaani. Nadhani Marekani hii siri ameijua muda mrefu sana na ndio maana muda wote ameikumbatia Israel kama mwanae vile. NA HUENDA HII NDIO SIRI KUBWA YA MAFANIKIO YA TAIFA LA MAREKANI kuwa na nguvu kubwa na uchumi kuliko taifa lolote lile duniani.
Angalia Mataifa yenye uadui na ISRAEL uone jinsi yanavyoanguka na kudumaa.

Hata Russia hii siri anaijua na ndio maana huoni akiiletea ISRAEL chokochoko.

Nchi nyingi duniani zenye uhusiano mzuri na ISRAEL zimestawi sana. Hata jirani zetu Rwanda japo ni kanchi kadogo na kanaendeshwa kidikteta lakini ana ustawi mzuri sana na jamii yake ipo vizuri hasa baada ya mauaji ya Kimbari.

Angalia Idi Amini Dada alivyowasaliti ISRAEL mwaka 1978 kwa kuwateka wale wayahudi, huenda ile ndio laana iliyomfanya ashindwe vita na likawa ni anguko lake.

Angalia jinsi Kenya ilivyobarikiwa katika Uchumi na Maendeleo ya nchi, wao miaka yote tangu uhuru wamekuwa na mahusiano mazuri sana na ISRAEL tofauti na sisi tuliovunza uhusiano na ISRAEL kipindi cha Nyerere, japo alipokuja Magufuli alirejesha. Na kipindi chote hicho Maendeleo yetu yalidumaa sana.

Tusishupaze shingo zetu na TUSIUKWEPE UKWELI. Nadhani hata Farao pamoja na kuona matendo makubwa yaliyotokea kwa wayahudi lakini bado alikuwa mgumu kuukubali ukuu wa Mungu wa ISRAEL. Hivi kweli unamkimbiza mtu halafu anafika baharini unajua sasa unamkamata halafu ghafla unaona maji yanajitenga kulia na kushoto na kutengeneza njia ili mtu huyo apite, HALAFU BADO UNAKOMAA KUMFUATA .

WAISLAMU NA WALE WA KRISTO MSIO AMINI KUWA MUNGU WA MBINGUNI ALILIBARIKI LILE TAIFA NA HATA SASA ANALILINDA . TUJITAFAKARI

MIMI NINAAMINI HUENDA HATA KULIWAZIA MABAYA TU LILE TAIFA NI LAANA
 
Ila maisha yanabadilika sana. Hivi inakuwaje mtu kutwa anashabikia mauaji yanayotokea sehemu fulani? Ni roho mbaya, uchawi au ujinga?

Yani kabisa unaandika tunataka kichapo sio makelele, hujisikii hata vibaya japo kidogo? Unahisi hawa wanaokufa hawana roho, au hawana ndugu na familia? Wewe umewahi kufiwa mkuu na kupoteza wapendwa wako, ulijisikiaje?

Dunia kwa namna yoyote inabidi iwe sehemu salama ya kuishi, kukaa bonyokwa na kuanza kushabikia mauaji yanayotokea Iran au Israel au Palestina au Ukraine ni ujinga sana, unahisi hayakuhusu sio? Tambua mambo yakichachaa huko unakoona hakukuhusu HATA WEWE HAUTAKUWA SALAMA.

Haijalishi anakufa mwarabu, muisilami, muisraeli, mwafrika au baniani ni lazima binadamu tuwe na utu. Ni muhimu tujitofautishe na wanyama japo kwa akili tu
Ni ajabu kweli nahisi labda wengi humu ni mapolisi na wajeda!
 
Wanaposhambulia Hamas Huwa mpo kimya
 
Ushajiuliza ni vipi kama Urusi angekuwa anawasaidia washirika wake moja kwa moja pale mashariki ya kati, kama Marekani anavyofanya ni kitu gani kingetokea? Unadhani Israel angekuwa anatamba kama anavyotamba leo?
Nan kamzuia Urusi kufanya hivyo ? unahisi alikuwa hafanyi hivyo ? Unahis moto wa Ukraine ni wa kitoto?
 
HIVI UNAFAHAMU KUWA BILA MAREKANI HAKUNA ISRAEL? KILA MWAKA ROBO TATU YA BAJETI YA NCHI YA ISRAEL ANATOA MAREKANI? SILAHA ZOTE NZITO NZITO NA ZA MAANA ANAPEWA NA MAREKANI? HIVI UNAFAHAMU KUNA BAADHI YA SILAHA ISRAEL ANANUNUA URUSI? HIVI UNAFAHAMU HADI SASA HIVI ISRAEL ANAPIGANA NA VIJANA WA MTAANI TU AMBAO WANAJUA KUTUMIA BUNDUKI TU TENA WAKIWA HAWANA MAFUNZO YA KIJESHI? NA BADO ANATOLEWA KAMASI?
hivi hujui kuwa bila Israel hakuna Marekani?

hivi hujui advanced technology zote duniani zina mkono wa Myahudi?
 
Marekani ilikuwepo kabla hata wayahudi hawajaanza kubanikwa na Hitler,na si kweli kuhusu tech zote kuwa na mkono wa myahudi,pili jifunze myahudi ni nani
 
Israel hana kelele ni kipigo tu

Russia kelele Nyingi mara atishie kutumia nyuklia na mambo mengi ..

Tunataka atoe kichapo .

Usimlaumu Russia, sijui ni lini Mtaamini Israel ina favor ya Mungu, yote yanayotokea Israel yapo kwenye Maandiko! Watapigwa mpaka mwisho wa Ulimwengu!
 
Wavuta bangi gani tena wanamiliki ballistic missile au mimi ndio sijui kuhesabu ????

Back
Top Bottom