Ukiangalia kichapo kinachotolewa na Israel utagundua Russia ni overrated sana

Ukiangalia kichapo kinachotolewa na Israel utagundua Russia ni overrated sana

mnamkuza sana yahudi. Israel anapigana na wanywa kahwa. mwarabu ni kima tu zaidi ya usengeusenge hawana kitu wanajua (angalizo mwarabu anamuacha mbali kiumbe wa kuitwa mtu mweusi). Urusi anapigana na mzungu mwenzake taifa kubwa na ambaye anapokea support. na by the way Israel ana backup support pia.
 
yaani mimi niache kutafuta hela ili niendelee kuwatoumba dada zako wa kilokole nihangaike na wayahudi na waarabu ambao hata hawanihusu?
Nilisapiga miti sana Wadada wa Kiislamu, Wavaa hijabu bila chupi ndani. Last week nimepiga rombo kasichana Kaislamu kalikohitimu form 6 mwezi May mwaka huu.
 
LEBANON,YEMEN,GAZA(PALESTINA) VIINCHI VIDOGO,MASIKINI NA DHAIFU. HATA SISI TANZANIA TUNAUWEZO WA KUVITANDIKA. HEZBULAH,HAMAS VIKUNDI VYA VIJANA WAVUTA BANGI WA KILEBANONI NA KIPALESTINA WALIOJIKUSANYA KUPAMBANA NA ISRAEL WAKIWA NA SILAHA DHAIFU NA MAFUNZO YA KAWAIDA YAANI BASIC HATA JWTZ INAWEZA KUWATANDIKA VIZURI TU. UKRAINE NCHI KUBWA YENYE UCHUMI MKUBWA KULIKO YEMEN,PALESTINA NA LEBANON IKIWA NA SAPOTI YA NCHI 30 NYUMA YAKE AKIWEMO MAREKANI,UINGEREZA,UFARANSA,UJERUMANI,ITALY N.K NA BADO ANACHAPIKA TU.
Jichanganye kwa hizo unazozita vi nchi vidogo ,sema tu wamekuta na mwamba wa vita
 
LEBANON,YEMEN,GAZA(PALESTINA) VIINCHI VIDOGO,MASIKINI NA DHAIFU. HATA SISI TANZANIA TUNAUWEZO WA KUVITANDIKA. HEZBULAH,HAMAS VIKUNDI VYA VIJANA WAVUTA BANGI WA KILEBANONI NA KIPALESTINA WALIOJIKUSANYA KUPAMBANA NA ISRAEL WAKIWA NA SILAHA DHAIFU NA MAFUNZO YA KAWAIDA YAANI BASIC HATA JWTZ INAWEZA KUWATANDIKA VIZURI TU. UKRAINE NCHI KUBWA YENYE UCHUMI MKUBWA KULIKO YEMEN,PALESTINA NA LEBANON IKIWA NA SAPOTI YA NCHI 30 NYUMA YAKE AKIWEMO MAREKANI,UINGEREZA,UFARANSA,UJERUMANI,ITALY N.K NA BADO ANACHAPIKA TU.
Hujui kuandika kwa herufi ndodo? Andika kama wenzako... Acha ushamba
 
Fanya hivi

Nafasi aliyopo Russia iliyowekewa vikwazo vya kiuchumi inayopigana na silaha za mataifa ya NATO iwe Israel

Yaani Israel ipigane na Ukraine na NATO sio wanamgambo wa Hamas au Hezbollah huku ikiwa imewekewa vikwazo vya kiuchumi

Israel hata wiki asingetoboa. Israel iko overrated sana

Russia ni lidude fulani hivi ambalo hata NATO wanauelewa mziki wake
 
Israel hana kelele ni kipigo tu

Russia kelele Nyingi mara atishie kutumia nyuklia na mambo mengi ..

Tunataka atoe kichapo .
Russia angeamua kuua raia kule Ukraine angemaliza vita mapema sana,,,,,ishu ni kwamba mrusi anajua raia hawana hatia ila viongozi ndo wana hatia ndo maana hesabu zake kwa asilimia kubwa analenga wanajeshi na baadhi ya viongozi tu ,,,,,angetaka kuigeuza kiev majivu angefanya hivyo mapema sana,,,,,Israel anatandika kokote ilimradi anajua kuna adui hajali maswala ya raia
 
Sema ninahisi yaliyoandikwa kwenye Biblia yakawa na ukweli 100%. Kuwa atakayekubariki nitambariki na atakayekulaani nitamlaani. Nadhani Marekani hii siri ameijua muda mrefu sana na ndio maana muda wote ameikumbatia Israel kama mwanae vile. NA HUENDA HII NDIO SIRI KUBWA YA MAFANIKIO YA TAIFA LA MAREKANI kuwa na nguvu kubwa na uchumi kuliko taifa lolote lile duniani.
Angalia Mataifa yenye uadui na ISRAEL uone jinsi yanavyoanguka na kudumaa.

Hata Russia hii siri anaijua na ndio maana huoni akiiletea ISRAEL chokochoko.

Nchi nyingi duniani zenye uhusiano mzuri na ISRAEL zimestawi sana. Hata jirani zetu Rwanda japo ni kanchi kadogo na kanaendeshwa kidikteta lakini ana ustawi mzuri sana na jamii yake ipo vizuri hasa baada ya mauaji ya Kimbari.

Angalia Idi Amini Dada alivyowasaliti ISRAEL mwaka 1978 kwa kuwateka wale wayahudi, huenda ile ndio laana iliyomfanya ashindwe vita na likawa ni anguko lake.

Angalia jinsi Kenya ilivyobarikiwa katika Uchumi na Maendeleo ya nchi, wao miaka yote tangu uhuru wamekuwa na mahusiano mazuri sana na ISRAEL tofauti na sisi tuliovunza uhusiano na ISRAEL kipindi cha Nyerere, japo alipokuja Magufuli alirejesha. Na kipindi chote hicho Maendeleo yetu yalidumaa sana.

Tusishupaze shingo zetu na TUSIUKWEPE UKWELI. Nadhani hata Farao pamoja na kuona matendo makubwa yaliyotokea kwa wayahudi lakini bado alikuwa mgumu kuukubali ukuu wa Mungu wa ISRAEL. Hivi kweli unamkimbiza mtu halafu anafika baharini unajua sasa unamkamata halafu ghafla unaona maji yanajitenga kulia na kushoto na kutengeneza njia ili mtu huyo apite, HALAFU BADO UNAKOMAA KUMFUATA .

WAISLAMU NA WALE WA KRISTO MSIO AMINI KUWA MUNGU WA MBINGUNI ALILIBARIKI LILE TAIFA NA HATA SASA ANALILINDA . TUJITAFAKARI

MIMI NINAAMINI HUENDA HATA KULIWAZIA MABAYA TU LILE TAIFA NI LAANA
Mkuu hapa umemalizaa kila kitu,
 
Hujui kuandika kwa herufi ndodo? Andika kama wenzako... Acha ushamba
BANDO LANGU, SIMU YANGU HALAFU WEWE MWAJUMA CHUPI CHAFU KUTOKA BUZA UNATAKA UNIPANGIE NIANDIKE KWA HERUFI NDOGO AU KUBWA?
 
Fanya hivi

Nafasi aliyopo Russia iliyowekewa vikwazo vya kiuchumi inayopigana na silaha za mataifa ya NATO iwe Israel

Yaani Israel ipigane na Ukraine na NATO sio wanamgambo wa Hamas au Hezbollah huku ikiwa imewekewa vikwazo vya kiuchumi

Israel hata wiki asingetoboa. Israel iko overrated sana

Russia ni lidude fulani hivi ambalo hata NATO wanauelewa mziki wake
TRUE SAY, UKRAINE ANASAIDIWA NA NCHI ZAIDI YA 10+ NA BADO ANACHAPIKA URUSI NI BALAA. ISRAEL NI OVERRATED BILA USA HAWANA MAAJABU.
 
Nilisapiga miti sana Wadada wa Kiislamu, Wavaa hijabu bila chupi ndani. Last week nimepiga rombo kasichana Kaislamu kalikohitimu form 6 mwezi May mwaka huu.
safi sana hivyo ndivyo inavyotakiwa tafuta hela toumba watoto wazuri iwe wa kiislamu au kilokole. Sio unabishana ujinga tu kuhusu wayahudi na wapalestina ambao hawakujui wala hawakusaidii chochote.
 
20241001_233302.jpg
 
Back
Top Bottom