Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

Kwakweli kama unatafuta wa kusaidiana naye kwenye utafutaji bora uangalie tabia tu mdogo’etu! Ni ngumu mno kuwapata hao kam hauna chochote kitu..
Mchawi lugha tu maneno mazuri humtoa nyoka pangoni , mwanaume kama unajua kupanga mistari unampata demu yeyote yule
Kweli eehh 😹
Nipe nafc plzzz ndani ya moyo wako hautakuja kujuta nitakupa malavidavi shak rukh khan akasome
 
mm najua wenye nyash niwakuchezea nakupita zangu kwa mda huu bado damu inachemka kwa fujo.ila ntakapooa navuta demu mwenye tabia nzur tutakayesaidiana kwenye utaftaji.
Kwamba demu akiwa na nyash Hawez kuwa na akili za utafutaji na tabia nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…