Ukianza kula Nyama ya mtu huwezi kuacha

Ukianza kula Nyama ya mtu huwezi kuacha

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kumekucha tena, siku hazigandi, waliyoyatenda yanaenedelea na yatakula hadi shoka. Kama shoka ikichomeka usidhani mpini utabaki salama, Time will tell.

CCM msipotubu dhambi hii itaendelea kuwatafuna na kamwe hamtapata amani. Yajayo wala hayafurahishi.
 
Kumekucha tena, siku hazigandi, waliyoyatenda yanaenedelea na yatakula hadi shoka. Kama shoka ikichomeka usidhani mpini utabaki salama, tuna masaa kadhaa au pengine week kujua hatma ya kula nyama ya mtu. Time will tell.,
CCM msipotubu dhambi hii itaendelea kuwatafuna na kamwe hamtapata amani. Yajayo wala hayafurahishi.....
Eli vipi? Mbona unatutisha? Unajua Eli alikuwa Kuhani Mkuu Hekaluni?
 
Kumekucha tena, siku hazigandi, waliyoyatenda yanaenedelea na yatakula hadi shoka. Kama shoka ikichomeka usidhani mpini utabaki salama, tuna masaa kadhaa au pengine week kujua hatma ya kula nyama ya mtu. Time will tell.,
CCM msipotubu dhambi hii itaendelea kuwatafuna na kamwe hamtapata amani. Yajayo wala hayafurahishi.....
Ulitaka kusema nini?
 
usile nyama ya mtu maana hutoacha
😀 .

Kama kuna la kusema mtu si useme tu, kutumia nahau nyingi kama vile tupo kwenye somo la kiswahili.
Kigogo kigogo!aliripoti kuwa Dr.ntibazonkiza kalazwa kule kwa Biden!Leo kaandika eti Tayari!!

Sijajua kama no kweli halafu kamati kuu ya kijani ipo maandalizi ya mkutano!!
 
Back
Top Bottom