Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Nitamuuliza kwa nini anakubali kuendeshwa na kivuli cha Kayafa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhhhNitamuuliza kwa nini anakubali kuendeshwa na kivuli cha Kayafa.
Rais Samia ni kiboko ya CHADEMA na Lissu wao. Watake wasitake lazima tumpe nafasi tena 2025.Waambieni hao chadema kuwa Shauri yao kwa maana Rais Samia ni kiboko yao na anakubalika internationally.
Rais Samia ni mbeba maono Kwa jinsi uchumi wa Tanzania unavyokuwa kwa kasi hadi 2025 tutakuwa tumeipiku south Africa.Rais Samia ni kiboko ya CHADEMA na Lissu wao. Watake wasitake lazima tumpe nafasi tena 2025.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.Rais Samia ni mbeba maono Kwa jinsi uchumi wa Tanzania unavyokuwa kwa kasi hadi 2025 tutakuwa tumeipiku south Africa.
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Samia na JPM wakitutetea sisi wanyonge.Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Samia na JPM wakitutetea sisi wanyonge.
Asante Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia vema mama yetu.Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.
OkayKama akiridhia chanjo ya Corona kuletwa...Je atachanjwa hadharani chanjo ya Corona?! Kama jibu ni ndio?! Ilitumuamini km hajachanjwa chanjo feki..tunaomba aweke sarafu tuone km itanasa...
Ccm haiwezi kuiba kura 2025. Rais Samia anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha mzee Lowasa na huyo msaliti wa Nchi Tundu Lissu.Asante Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia vema mama yetu.
Sawa mkuuItategemeana na mood yangu siku hiyo....
Rais Samia hata asipopiga kampeni mwaka 2025 ushindi ni 98% Ila Rais lazima awatembelee Wananchi wake kuonyesha heshima. Samia ooyeeeee.Ccm haiwezi kuiba kura 2025. Rais Samia anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha mzee Lowasa na huyo msaliti wa Nchi Tundu Lissu.
Anawa-enjoy kwa lipi?Kwanini anatuenjoy watanzania..?
Chadema wakumbuke kwamba shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal.Rais Samia hata asipopiga kampeni mwaka 2025 ushindi ni 98% Ila Rais lazima awatembelee Wananchi wake kuonyesha heshima. Samia ooyeeeee.
Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.Chadema wakumbuke kwamba shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal.