Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

Rais Samia ni mbeba maono Kwa jinsi uchumi wa Tanzania unavyokuwa kwa kasi hadi 2025 tutakuwa tumeipiku south Africa.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
 
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Samia na JPM wakitutetea sisi wanyonge.
 
Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.
 
Asante Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia vema mama yetu.
 
Kama akiridhia chanjo ya Corona kuletwa...Je atachanjwa hadharani chanjo ya Corona?! Kama jibu ni ndio?! Ilitumuamini km hajachanjwa chanjo feki..tunaomba aweke sarafu tuone km itanasa...
 
Okay
 
Asante Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia vema mama yetu.
Ccm haiwezi kuiba kura 2025. Rais Samia anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha mzee Lowasa na huyo msaliti wa Nchi Tundu Lissu.
 
Rais Samia hata asipopiga kampeni mwaka 2025 ushindi ni 98% Ila Rais lazima awatembelee Wananchi wake kuonyesha heshima. Samia ooyeeeee.
 
Chadema wakumbuke kwamba shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal.
 
Kwanini ilitokea vile kwa Dr John P. J Magufuli..... ???????
 
Chadema wakumbuke kwamba shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal.
Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.
 
Mimi nitamuuliza Mbona kipindi alichokuwa Makamu wa Rais kwanini asingeweza kumshauri Mwendazake wakafanya haya anayo fanya sasa hivi.

Je! Alikuwa anakwama wapi kipindi kile?
 
Back
Top Bottom