Ukichelewa kuoa unapunguza Muda

acha ni screenshot haya maneno kisha nikaya print harafu niyaweke yuu kabisa dalini..ili kila mdada aliye na chembe chembe za kutaka ndoa kwangu basi awe anayaona pale anapokuwa style ya kifo cha mende!!

[emoji28][emoji28]
 
Kwani ndoa ina faida gani kama tayari nina watoto wangu kwa wanawake 3 kila moja na mama yake.. na mm naishi kivyangu .. nawa udumia wote kwa upendo.. na nina somesha ..je ndoa ni ili iweje??
 
Sema kuoa nikujipa mzigo ambao hauna maana ,hakuna raha kama kuishi maisha yako mwenyewe cha muhimu kupata watoto tu basi .Mfano mimi nina watoto 6 saiz natak niongeza 4 wawe 10 angalau sio kuoa ni jambo la mwisho sana .
Wewe unaeza ona mzigo. wengine wanaweza wasione mzigo kabisa.
definition ya raha kwenye maisha ita vary na mtu husika.
 
🤣🤣
 
Hata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua tulia tu uiepushe jamii na shurba za hapa na pale.
Ndio mnavyo ongea ili mtushawishi tuingie hafu mwisho wa siku tuanze kupata magojwa ya moyo,wewe unafikili hatuoni wanaume wenzetu wanavyofanyiwa huko na wake zao,atuoni wake za watu wanavyopishana gesti,mahotelini.saivi ukweli tunaujua wanawake hawataki ndoa wanataka harusi baada kudanga tu.yani mtu unaoa mke anagawa kama pipi uku akijificha kwenye kichaka eti halidhishwi,haudumiwi.saivi cha muhumu watoto tu kutimiza neno la kuijaza dunia
 
Una udanganya umma

Omba Mungu akupe wako hutapata mateso, ukichukua wangu jua atakuja tu getto kwangu 😂😂

Ndoa ina faida nyingi kuliko hasara.
Mkuu tuanze hapo ebu tutajie faida ya ndoa ,halafu mimi nakuja na vimbwanga😂😂😅
 
Wazee wetu wangekuwa wanaogopa kuoa kwa kuangalia matatizo ya ndoa za wenzao. ndhani wengi tusingekuepo.

Matatizo haya ya serve as darasa, lakin yasitumike kama kisingizio
 
Katika kitu mbacho huwa najutia ni kwanini nilichelewa kuoa. Nilioa kabla sijafikisha miaka 28.

Kuoa kuna raha yake ukishajua kwamba wewe ni mwanaume hasa huwezi kuchelewa kuoa labda ucheleweshwe na mambo ambayo yako nje ya uwezo wako,kwani kwenye Wanaume kuna Wanaume.
 

Well said
 
Sema kuoa nikujipa mzigo ambao hauna maana ,hakuna raha kama kuishi maisha yako mwenyewe cha muhimu kupata watoto tu basi .Mfano mimi nina watoto 6 saiz natak niongeza 4 wawe 10 angalau sio kuoa ni jambo la mwisho sana .
mzee una watoto sita.hongera
 
Wamama zangu na bibi yng walikuw kila siku ndio wimbo wao nioe kwa asira niliwajibu wao toka waume zao wafe mbona hawajaolewa?!ikabid waache kuniuliza hadi wametangulia mbele y haki kwa mpigo
Kmmk [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1732]
 
acha ni screenshot haya maneno kisha nikaya print harafu niyaweke yuu kabisa dalini..ili kila mdada aliye na chembe chembe za kutaka ndoa kwangu basi awe anayaona pale anapokuwa style ya kifo cha mende!!
We jamaa umenichekesha sana.
 
Umeona eehh [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ungelijua lengo la Mungu kuanzisha taasisi ya ndoa usingesema hivyo.

Mungu anahitaji familia kamilifu ya baba, mama na watoto ili imwabudu yeye na wazazi wawafundishe watoto wao kuabudu.

Mara nyingi watoto huwa wanayaishi maisha ya wazazi wao. Je wanao wataiga wapi mfano wako ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…