Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
- Thread starter
- #21
Usiishi maisha ya kuangalia watu wengine ishi wewe kama wewe.
Utaishi vipi kwenye Dunia ya watu wewe kama wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiishi maisha ya kuangalia watu wengine ishi wewe kama wewe.
acha ni screenshot haya maneno kisha nikaya print harafu niyaweke yuu kabisa dalini..ili kila mdada aliye na chembe chembe za kutaka ndoa kwangu basi awe anayaona pale anapokuwa style ya kifo cha mende!!
Hata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua tulia tu uiepushe jamii na shurba za hapa na pale.
MwambieAiseee,unakosa uhondo mweh!!!
Mwenye kusikia na aeleweHata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua tulia tu uiepushe jamii na shurba za hapa na pale.
Wewe unaeza ona mzigo. wengine wanaweza wasione mzigo kabisa.Sema kuoa nikujipa mzigo ambao hauna maana ,hakuna raha kama kuishi maisha yako mwenyewe cha muhimu kupata watoto tu basi .Mfano mimi nina watoto 6 saiz natak niongeza 4 wawe 10 angalau sio kuoa ni jambo la mwisho sana .
Underrated statementUsiishi maisha ya kuangalia watu wengine ishi wewe kama wewe.
@Espy unatumia wine gani.. gharama zote zangu.Hata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua tulia tu uiepushe jamii na shurba za hapa na pale.
🤣🤣Naam! Ukichelewa kuoa unapunguza muda wa maumivu na mateso ya kujitakia bila sababu! Kama ni watoto utawapata kwa single mother!
Nikifikisha miaka 45 ndio nitaanza kujifikiria kama kutakuwa na ulazima wa kuoa ama hapana! Kama waliooa wake zao kila siku wanapishana maghetto ya wajuba mimi ni nani nikimbilie.
Usinunue kitu ambacho unaweza kupata bure.
Pia soma: Kwani lazima kuoana?
Ndio mnavyo ongea ili mtushawishi tuingie hafu mwisho wa siku tuanze kupata magojwa ya moyo,wewe unafikili hatuoni wanaume wenzetu wanavyofanyiwa huko na wake zao,atuoni wake za watu wanavyopishana gesti,mahotelini.saivi ukweli tunaujua wanawake hawataki ndoa wanataka harusi baada kudanga tu.yani mtu unaoa mke anagawa kama pipi uku akijificha kwenye kichaka eti halidhishwi,haudumiwi.saivi cha muhumu watoto tu kutimiza neno la kuijaza duniaHata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, ukishajijua zimepungua tulia tu uiepushe jamii na shurba za hapa na pale.
Mkuu tuanze hapo ebu tutajie faida ya ndoa ,halafu mimi nakuja na vimbwanga😂😂😅Una udanganya umma
Omba Mungu akupe wako hutapata mateso, ukichukua wangu jua atakuja tu getto kwangu 😂😂
Ndoa ina faida nyingi kuliko hasara.
Wazee wetu wangekuwa wanaogopa kuoa kwa kuangalia matatizo ya ndoa za wenzao. ndhani wengi tusingekuepo.Ndio mnavyo ongea ili mtushawishi tuingie hafu mwisho wa siku tuanze kupata magojwa ya moyo,wewe unafikili hatuoni wanaume wenzetu wanavyofanyiwa huko na wake zao,atuoni wake za watu wanavyopishana gesti,mahotelini.saivi ukweli tunaujua wanawake hawataki ndoa wanataka harusi baada kudanga tu.yani mtu unaoa mke anagawa kama pipi uku akijificha kwenye kichaka eti halidhishwi,haudumiwi.saivi cha muhumu watoto tu kutimiza neno la kuijaza dunia
Katika kitu mbacho huwa najutia ni kwanini nilichelewa kuoa. Nilioa kabla sijafikisha miaka 28.Naam! Ukichelewa kuoa unapunguza muda wa maumivu na mateso ya kujitakia bila sababu! Kama ni watoto utawapata kwa single mother!
Nikifikisha miaka 45 ndio nitaanza kujifikiria kama kutakuwa na ulazima wa kuoa ama hapana! Kama waliooa wake zao kila siku wanapishana maghetto ya wajuba mimi ni nani nikimbilie.
Usinunue kitu ambacho unaweza kupata bure.
Pia soma: Kwani lazima kuoana?
Ndio mnavyo ongea ili mtushawishi tuingie hafu mwisho wa siku tuanze kupata magojwa ya moyo,wewe unafikili hatuoni wanaume wenzetu wanavyofanyiwa huko na wake zao,atuoni wake za watu wanavyopishana gesti,mahotelini.saivi ukweli tunaujua wanawake hawataki ndoa wanataka harusi baada kudanga tu.yani mtu unaoa mke anagawa kama pipi uku akijificha kwenye kichaka eti halidhishwi,haudumiwi.saivi cha muhumu watoto tu kutimiza neno la kuijaza dunia
mzee una watoto sita.hongeraSema kuoa nikujipa mzigo ambao hauna maana ,hakuna raha kama kuishi maisha yako mwenyewe cha muhimu kupata watoto tu basi .Mfano mimi nina watoto 6 saiz natak niongeza 4 wawe 10 angalau sio kuoa ni jambo la mwisho sana .
Kmmk [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1732]Wamama zangu na bibi yng walikuw kila siku ndio wimbo wao nioe kwa asira niliwajibu wao toka waume zao wafe mbona hawajaolewa?!ikabid waache kuniuliza hadi wametangulia mbele y haki kwa mpigo
We jamaa umenichekesha sana.acha ni screenshot haya maneno kisha nikaya print harafu niyaweke yuu kabisa dalini..ili kila mdada aliye na chembe chembe za kutaka ndoa kwangu basi awe anayaona pale anapokuwa style ya kifo cha mende!!
Umeona eehh [emoji16][emoji16][emoji16]Ndio mnavyo ongea ili mtushawishi tuingie hafu mwisho wa siku tuanze kupata magojwa ya moyo,wewe unafikili hatuoni wanaume wenzetu wanavyofanyiwa huko na wake zao,atuoni wake za watu wanavyopishana gesti,mahotelini.saivi ukweli tunaujua wanawake hawataki ndoa wanataka harusi baada kudanga tu.yani mtu unaoa mke anagawa kama pipi uku akijificha kwenye kichaka eti halidhishwi,haudumiwi.saivi cha muhumu watoto tu kutimiza neno la kuijaza dunia
Ungelijua lengo la Mungu kuanzisha taasisi ya ndoa usingesema hivyo.Ndio mnavyo ongea ili mtushawishi tuingie hafu mwisho wa siku tuanze kupata magojwa ya moyo,wewe unafikili hatuoni wanaume wenzetu wanavyofanyiwa huko na wake zao,atuoni wake za watu wanavyopishana gesti,mahotelini.saivi ukweli tunaujua wanawake hawataki ndoa wanataka harusi baada kudanga tu.yani mtu unaoa mke anagawa kama pipi uku akijificha kwenye kichaka eti halidhishwi,haudumiwi.saivi cha muhumu watoto tu kutimiza neno la kuijaza dunia