Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

No comment, kwani una umri Gani?
 
kuna jamaa alikua anataka mke at that time i was very desperate, yani nilitaka nipate tu wa kunioa nikaangukia kwa baba wa watu hasimamishi na anataka mke nikajisemea bora niendelee kusubiri kuliko kuolewa na mtu hana maajabu kama kula nakula navaa nafanya ninachotaka nachokosa ni huo mtinyama
 
Fanya unless wala chuma🤣🤣
 
Sura ipo
 
Ulipokua na miaka 37 mimi nikiwa na 9, ulikuwa mrembo kwel, ulivutia sana, japokuwa ulikuwa umeshachelewa tayari! kaka yangu alikuaproach akiwa na lengo la kukuoa kabisa, nakumbuka alinipa barua nikuletee, na mimi nilivokua na akili za kitoto nikakuletea barua ukiwa umesimama kando ya gari la bwana ako mr.dunyo mkiwa wote, ukanilamba kofi, kaka angu alikwambia ukwel kuwa atakuoa akupeleke rock city kwa vile ukutaka kuishi goza kijijin, ukamkataa kisa ni msukuma!, sasa sijajua kama dunyo ndio uyo mchagga unaemzungumzia! bado nakumbuka haya mambo ni miaka 15 sasa imepita! Sasa majuto...
 
😆😆
 

Umechelewa kuoa au Kuolewa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…