Jogoo mbegu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 824
- 3,449
Smtm inasikitisha unakuta bro kitaa hajawahi ingiza mwanamke ndani wala hana mtoto yupo tu😳😳kuna jamaa alikua anataka mke at that time i was very desperate, yani nilitaka nipate tu wa kunioa nikaangukia kwa baba wa watu hasimamishi na anataka mke nikajisemea bora niendelee kusubiri kuliko kuolewa na mtu hana maajabu kama kula nakula navaa nafanya ninachotaka nachokosa ni huo mtinyama