Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Ndoa ni tendo.

Sasa wewe na huyo asiyesimamisha mtakuwa mnafanya biashara gani nyingine?
Nadhani itakuwa biashara ya ukuaji, watashindana kunenepa 😂😂. Wataambuana honey kitambi changu kimekuzidi😂
 
Bora ningeolewa na mchagga wangu ambaye hawezi simamisha kuliko haya ninayoyapitia walahi . Aisee unakutana na vioja hadi unazima.

Kha! Hii ni mbaya walahi nimekutana na abunuasi . Na hadithi zake . Aisee hii ni critical mtu kapinda pinda hadi ujui umnyooshe wapi.
Anzia chini kwenda juu kumyoosha
 
Sasa inakuwaje unaolewa na mwanaume ambae asimamishi, hapo ni sawa umeolewa na shosti mwenzio tu
 
kuna jamaa alikua anataka mke at that time i was very desperate, yani nilitaka nipate tu wa kunioa nikaangukia kwa baba wa watu hasimamishi na anataka mke nikajisemea bora niendelee kusubiri kuliko kuolewa na mtu hana maajabu kama kula nakula navaa nafanya ninachotaka nachokosa ni huo mtinyama
Akili zako bhana eti mti nyama hahahah!
 
Hapana hasimamishi sasa nisiseme
Ila Wachagga wengi wanasemwa wako weak sana kwenye 6 x 6 sijui kwa nini? Hata kama atakuwa anasimamisha lazima atagongewa tu na mahela yake! Tulikaa Moshi miaka ya '90s mwishoni kuelekea 2000 wamama wa Kichagga wakawa wanatupigisha hizo story huku wakisifia kabila letu linavyojua shughuli, kwani tuliwachelewesha? Tuliwang'oa centre bolt vibaya sana!
 
Ulipokua na miaka 37 mimi nikiwa na 9, ulikuwa mrembo kwel, ulivutia sana, japokuwa ulikuwa umeshachelewa tayari! kaka yangu alikuaproach akiwa na lengo la kukuoa kabisa, nakumbuka alinipa barua nikuletee, na mimi nilivokua na akili za kitoto nikakuletea barua ukiwa umesimama kando ya gari la bwana ako mr.dunyo mkiwa wote, ukanilamba kofi, kaka angu alikwambia ukwel kuwa atakuoa akupeleke rock city kwa vile ukutaka kuishi goza kijijin, ukamkataa kisa ni msukuma!, sasa sijajua kama dunyo ndio uyo mchagga unaemzungumzia! bado nakumbuka haya mambo ni miaka 15 sasa imepita! Sasa majuto...
Kwa hiyo sasa hivi ana 52? Kwisha habari yake! Sasa hivi ni chakula ya waganga wa kienye!!
 
Bora ningeolewa na mchagga wangu ambaye hawezi simamisha kuliko haya ninayoyapitia walahi . Aisee unakutana na vioja hadi unazima.

Kha! Hii ni mbaya walahi nimekutana na abunuasi . Na hadithi zake . Aisee hii ni critical mtu kapinda pinda hadi ujui umnyooshe wapi.
Slow down pets and kids at play...
 
Back
Top Bottom