Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #81
Sijawahi shika kimbo hiyoKuna waliotumia evaredi shika paka pawa na hata hawana shidaa wala stress
View attachment 2741382
View attachment 2741383
Vipi na hapo vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi shika kimbo hiyoKuna waliotumia evaredi shika paka pawa na hata hawana shidaa wala stress
View attachment 2741382
View attachment 2741383
Vipi na hapo vipi?
Tatizo lenu nyie hamsex nyie mnapiganagaMimi ni Msukuma, a.k.a Mandingo mtu kazi... Hapa kazi tu, unatembezewa Rungu komredi kipepe
Acha kutupanga dondosha photo apa tukuone wa waana sio makatooniSura ipo
Nadhani itakuwa biashara ya ukuaji, watashindana kunenepa 😂😂. Wataambuana honey kitambi changu kimekuzidi😂Ndoa ni tendo.
Sasa wewe na huyo asiyesimamisha mtakuwa mnafanya biashara gani nyingine?
Anzia chini kwenda juu kumyooshaBora ningeolewa na mchagga wangu ambaye hawezi simamisha kuliko haya ninayoyapitia walahi . Aisee unakutana na vioja hadi unazima.
Kha! Hii ni mbaya walahi nimekutana na abunuasi . Na hadithi zake . Aisee hii ni critical mtu kapinda pinda hadi ujui umnyooshe wapi.
Following..🤭😷😁Hua nikisomaga hz thread za dada maua naishia kucheka
Mrs Thabo Bester 👆👆👆🤣Aisee hii ni critical mtu kapinda pinda hadi ujui umnyooshe wapi.
Akili zako bhana eti mti nyama hahahah!kuna jamaa alikua anataka mke at that time i was very desperate, yani nilitaka nipate tu wa kunioa nikaangukia kwa baba wa watu hasimamishi na anataka mke nikajisemea bora niendelee kusubiri kuliko kuolewa na mtu hana maajabu kama kula nakula navaa nafanya ninachotaka nachokosa ni huo mtinyama
One man down huh!Sijaona umuhimu wa kuoa au kuolewa
Pole bestieNilienda kwetu kuuguzwa
Unakuta kitu kimefika 35 bado kinakwambia kipokipo kwanza kinakula ujana[emoji1]Kuchelewa kuolewa na kuoa kunaanzia miaka mingapi kwan?????
Kwani wanawake Roho mbaya mmeishiwa. Beba mimba za Nje kuwa na Michepuko mletee watoto wa nje.. Nashangaa Roho mbaya wewe umeeweka wapi🤣Eh sana tu
Ila Wachagga wengi wanasemwa wako weak sana kwenye 6 x 6 sijui kwa nini? Hata kama atakuwa anasimamisha lazima atagongewa tu na mahela yake! Tulikaa Moshi miaka ya '90s mwishoni kuelekea 2000 wamama wa Kichagga wakawa wanatupigisha hizo story huku wakisifia kabila letu linavyojua shughuli, kwani tuliwachelewesha? Tuliwang'oa centre bolt vibaya sana!Hapana hasimamishi sasa nisiseme
Kwa hiyo sasa hivi ana 52? Kwisha habari yake! Sasa hivi ni chakula ya waganga wa kienye!!Ulipokua na miaka 37 mimi nikiwa na 9, ulikuwa mrembo kwel, ulivutia sana, japokuwa ulikuwa umeshachelewa tayari! kaka yangu alikuaproach akiwa na lengo la kukuoa kabisa, nakumbuka alinipa barua nikuletee, na mimi nilivokua na akili za kitoto nikakuletea barua ukiwa umesimama kando ya gari la bwana ako mr.dunyo mkiwa wote, ukanilamba kofi, kaka angu alikwambia ukwel kuwa atakuoa akupeleke rock city kwa vile ukutaka kuishi goza kijijin, ukamkataa kisa ni msukuma!, sasa sijajua kama dunyo ndio uyo mchagga unaemzungumzia! bado nakumbuka haya mambo ni miaka 15 sasa imepita! Sasa majuto...
Slow down pets and kids at play...Bora ningeolewa na mchagga wangu ambaye hawezi simamisha kuliko haya ninayoyapitia walahi . Aisee unakutana na vioja hadi unazima.
Kha! Hii ni mbaya walahi nimekutana na abunuasi . Na hadithi zake . Aisee hii ni critical mtu kapinda pinda hadi ujui umnyooshe wapi.
Sio lazima iwe hivyo. Ila lengo la ndoa ni hilo. Bila tendo huwezi ukaita ni ndoa.Kwani mnaoana bikra wote
Eh !Umepata wakufanana nae, MUNGU hakupi unachotaka anakupa unachostahiri.