Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Sina hata 37 unaiongelea licha 52 so sio mie na mchagga wangu kwao ndio walikuwa wanajitahidi tu kiuchumi yeye alikuwa bado mdogo sana 23 mie 18 so huo utani mpwlekee nyanya ako
Hio ni part ya moja ya verse kwenye wimbo wa young killer unaitwa "again" so nikaona vinaendana na story yako... Ndo maana nikauweka... Nilikua hapo tu!
 
Kuchelewa kuolewa na kuoa kunaanzia miaka mingapi kwan?????
Kama mtoto wa kiume una miaka 33 bado hujaoa, jitafakari.
Kwa ma slay queen Kama umefikisha 34 hujaolewa, tafuta boda boda uzae nae halafu Anza uanaharakati wa u feminist.
Ukiwa 34 hujaolewa ujue wanaume wanakuogopa.
 
Pole mama
Bora ningeolewa na mchagga wangu ambaye hawezi simamisha kuliko haya ninayoyapitia walahi . Aisee unakutana na vioja hadi unazima.

Kha! Hii ni mbaya walahi nimekutana na abunuasi . Na hadithi zake . Aisee hii ni critical mtu kapinda pinda hadi ujui umnyooshe wapi.
 
Ni kweli hata usipooa au kuolewa haina tatizo.
Sasa huyu mwenzetu anataka kuolewa na mtu asiyesimamisha ndo mimi ninaposhangaa.
Kwanini aolewe?
Kwa hiyo mkuu leo unaproove kwamba haya maswala ya watu kurambana mara viungo mara masikio , huku kupima oil ni utopolo tu kama mshedede hausimami yote ni kazi bure 😂😂
 
Back
Top Bottom