Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wengi tu wanapata tendo bila ndoa.Sio lazima iwe hivyo. Ila lengo la ndoa ni hilo. Bila tendo huwezi ukaita ni ndoa.
Sina hata 37 unaiongelea licha 52 so sio mie na mchagga wangu kwao ndio walikuwa wanajitahidi tu kiuchumi yeye alikuwa bado mdogo sana 23 mie 18 so huo utani mpwlekee nyanya akoUlipokua na miaka 37 mimi nikiwa na 9, ulikuwa mrembo kwel, ulivutia sana, japokuwa ulikuwa umeshachelewa tayari! kaka yangu alikuaproach akiwa na lengo la kukuoa kabisa, nakumbuka alinipa barua nikuletee, na mimi nilivokua na akili za kitoto nikakuletea barua ukiwa umesimama kando ya gari la bwana ako mr.dunyo mkiwa wote, ukanilamba kofi, kaka angu alikwambia ukwel kuwa atakuoa akupeleke rock city kwa vile ukutaka kuishi goza kijijin, ukamkataa kisa ni msukuma!, sasa sijajua kama dunyo ndio uyo mchagga unaemzungumzia! bado nakumbuka haya mambo ni miaka 15 sasa imepita! Sasa majuto...
Unaweza kupata tendo bila ndoa hilo lipo wazi. Wanaofunga ndoa nia yao ni kufanya tendo na huyo mmoja pia kuanzisha familia.Mbona wengi tu wanapata tendo bila ndoa.
Ndoa ni ibada takatifu ngono ni sehemu ya ndoa
NI ibada takatifu ya kuhalalisha tendo la ndoa.Mbona wengi tu wanapata tendo bila ndoa.
Ndoa ni ibada takatifu ngono ni sehemu ya ndoa
Lengo la ndoa ni kujenga familia yenye maadili ya kiMungu.Unaweza kupata tendo bila ndoa hilo lipo wazi. Wanaofunga ndoa nia yao ni kufanya tendo na huyo mmoja pia kuanzisha familia.
Sasa mtu hasimamishi anaenda kuoa ili iweje kwa mfano? Nani atatimiza haja za mwenzake?
Bila mizagamuano ndoa haipo.
Labda wale wakujaza minyama na misamaki kwenye frig mke akisema mme wangu vip utasikia wewe hauli? Utazani mwanamke alitoka kwao kuja kula [emoji3]Ndoa ni tendo.
Sasa wewe na huyo asiyesimamisha mtakuwa mnafanya biashara gani nyingine?
Wengine wanakuwa navyo kwa muda kisha vinapotea wanakuwa wakali hao [emoji12]Alafu wengi ambao hawaoi/kuolewa watakuwa na kasoro za vitendea kazi vya tendo la ndoa[emoji23]
[emoji3] kila siku kachoka ha ha hakuna jamaa alikua anataka mke at that time i was very desperate, yani nilitaka nipate tu wa kunioa nikaangukia kwa baba wa watu hasimamishi na anataka mke nikajisemea bora niendelee kusubiri kuliko kuolewa na mtu hana maajabu kama kula nakula navaa nafanya ninachotaka nachokosa ni huo mtinyama
Sema hata weweSio lazima iwe hivyo. Ila lengo la ndoa ni hilo. Bila tendo huwezi ukaita ni ndoa.
Familia ipi unayoiongelea hapa? Kumbuka mume hasimamishi maana yake hawafanyi tendo watoto watatoka wapi?Lengo la ndoa ni kujenga familia yenye maadili ya kiMungu.
Mme umuwakulisha Kristo,mke ni msaidizi, familia ni kanisa.
Mme ni kichwa mke ni mwili wote pamoja kuhitimilisha kusudi la Mungu Dunia.
Thus shetani apendi ndoa ana vita nayo kuhakikisha zinavunjika ili kusudi la Mungu lisitimie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulijuje...Mkifika 30 + ndio mnaanza haya maneno.
kama hudindishi hiyo familia utajengaje?Lengo la ndoa ni kujenga familia yenye maadili ya kiMungu.
Mme umuwakulisha Kristo,mke ni msaidizi, familia ni kanisa.
Mme ni kichwa mke ni mwili wote pamoja kuhitimilisha kusudi la Mungu Dunia.
Thus shetani apendi ndoa ana vita nayo kuhakikisha zinavunjika ili kusudi la Mungu lisitimie.
Utapiga fingers au deki,zipo njia nyingikama hudindishi hiyo familia utajengaje?
Ngono ni hitaji la hisia na Sio hitaji la mwili,hapa ni ishu ya mind control tuFamilia ipi unayoiongelea hapa? Kumbuka mume hasimamishi maana yake hawafanyi tendo watoto watatoka wapi?
Labda kama wameamua kuasili watoto ambao sio wao. Lakini kiuhalisia familia ni baba, mama na watoto halafu hayo mengine hufuata.
Haya mmeamua kuishi hivyo, huyo mke utaruhusu akagongwe nje?
Pole sana 😁Bora ningeolewa na mchagga wangu ambaye hawezi simamisha kuliko haya ninayoyapitia walahi . Aisee unakutana na vioja hadi unazima.
Kha! Hii ni mbaya walahi nimekutana na abunuasi . Na hadithi zake . Aisee hii ni critical mtu kapinda pinda hadi ujui umnyooshe wapi.
![]()
Ulijuje...![]()
Tunakumbuka shuka, kumekucha...
😁😁😁 ila nyie janja sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulijuje...
Tunakumbuka shuka, kumekucha...
Kwahiyo mke akihitaji akapate wapi huduma? Au ndo kuvumililiana katika shida za kujitakia?Ngono ni hitaji la hisia na Sio hitaji la mwili,hapa ni ishu ya mind control tu
Ndo maana ya shida na RahaKwahiyo mke akihitaji akapate wapi huduma? Au ndo kuvumililiana katika shida za kujitakia?