Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Kama mtoto wa kiume una miaka 33 bado hujaoa, jitafakari.
Kwa ma slay queen Kama umefikisha 34 hujaolewa, tafuta boda boda uzae nae halafu Anza uanaharakati wa u feminist.
Ukiwa 34 hujaolewa ujue wanaume
Mmmh inaweza kua ni sawa..mawazo yako hayo
 
Umbea wa kazini mara juzi mtu kasema alikutana na mbaba 55yrs anasema kazi anaweza ila ana mkono wa sweta.

Nikajiuliza kweli nyakati hizi kuna wababa mna mikono ya sweta? Je huwezi kulitoa hata ukiwa na 50s?

Mimi nikajiuliza hivi mwanaumenkama ana govi anawezaje kuvua mbele ya mwanamke? Mmmh hili nalo halivimiliki.

Ninavyo amini kizazi cha babu zetu ambao wengi walisha kufa ndo kilikuwa na govi ila sasa hivi hapana bana ni uzembe.
Wasukuma , wakisii , wanyakusa hawajatahiriwa
 
Hahahaaa...... Wanawake wa mjini bhana, hawaishiwi vioja.
 
Nakubali, mengine hata ukiwa alone unaweza mudu ila ile kitu hata MUNGU alituweza hainaga self defence.
...nia ya kuoana ni kupata mtoto... na kubadili lifestyle... Ili kuachana au angalau kupunguza na kuepuka zile za hovyo... bila kusahau kurahisisha mambo due to kusaidizana kiuhalali...
 
hana mtoto hata mmoja hio shida ya kutosimamisha hata mm ilinikimbiza nitaishije?? atanitia vidole?? mboo ina utam wake
Kwahiyo ulitest mitambo kabla hajakuoa au ulikimbia baada ya ndoa?

Vipi kama jamaa labda siku hiyo tu hakuwa sawa Ila Ina erect?
 
Kwahiyo ulitest mitambo kabla hajakuoa au ulikimbia baada ya ndoa?

Vipi kama jamaa labda siku hiyo tu hakuwa sawa Ila Ina erect?
hata hio ndoa hatukuwah kuoana sasa ntajuaje hill swali lako labpili
 
Bora ningeolewa na mchagga wangu ambaye hawezi simamisha kuliko haya ninayoyapitia walahi . Aisee unakutana na vioja hadi unazima.

Kha! Hii ni mbaya walahi nimekutana na abunuasi . Na hadithi zake . Aisee hii ni critical mtu kapinda pinda hadi ujui umnyooshe wapi.

Uyo mchaga ambae hasimamishi alikua anatafuta mke au mfanyakazi[emoji3][emoji23][emoji23]Na kama uliona unaweza ishi nae kwann ulimuacha
 
Kuchelewa kuolewa na kuoa kunaanzia miaka mingapi kwan?????
Ukipata mtoto ukiwa na miaka 35.....siku mwanao akifikisha umri kama wako wewe utakuwa na 70.....check life span.
Hapo hujazingatia hospice.
 
Back
Top Bottom