Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #181
Ni aibu ila huyo shemeji anafamilia yake kaoa kanisani tena ilipangwa kabisa na baba mtu kawaita , siunajua hali ya mdogo wako msaidie ainusuru uchumba wake . Maisha ni magumu usione ndoa zawatu zinasiri kubwa , ukiwa unauwitaji huo wala huoni keroSasa si bora angekuacha ukafanye maisha mengine na yeye angekubaliana na hali yake, mana nawaza uyo shemej yako najua ingekuwa ngumu kukuoa au je kama alikuwa na mahusiano yake mengine si aibu kama uyo mwanamke mwenzio angegundua