Ukichunguza kiundani GSM amejitangaza sana na kupiga fedha kupitia Yanga lakini anachowafanyia ni sanaa tupu

Dada unadhania kuandaa timu ni kitu rahisi,gsm kaikuta Yanga dhofu lihali leo Yanga inaanza kupata mwanga wa mafanikio unaleta uchawi wako,waulize mikia walisufer kwa muda gani kuandaa timu yao,nyie ndio mnaotumika na kina ndama kwa ajili tu gsm kakamatia biashara yenu ya jezi ambayo kipindi mnaiibia Yanga ilikua aifaidiki na chochote
 

Mafanikio kwa yanga ni suala la muda tu, wachezaji walio sajiliwa ni wazuri sana. Naona kwenye management ndo wanatakiwa wajibrashi.
 
Watu wengine wanataka waonekane wanajua kuongea hata kama hawana hoja yoyote
 
Kumbukeni mwamedi anawadai billion 21 alizowakopesha maana simba inaendeshwa kihasara
 
It doesn't matter Mkuu, Ila najua umenielewa ila unachokitaka now ni ubishi na ushabiki ambapo mimi huko siongelei na kama hujanielewa itakuwa ni Jeuri yako tu
Umeshiba propaganda za GSM tu. Ivi ulikuwepo enzi za Gulamali na Manji wewe!?
 
Kumbukeni mwamedi anawadai billion 21 alizowakopesha maana simba inaendeshwa kihasara
Yanga tumerogwa na Nani sijui. Chini ya Mo Simba Ina makombe kibao. Leo hii tunahoji uwekezaji unaoonekana matokeo yake na kumuacha mwekezaji hewa akipiga mkwanja mrefu kwa kina letu huru.
 
Yanga tumerogwa na Nani sijui. Chini ya Mo Simba Ina makombe kibao. Leo hii tunahoji uwekezaji unaoonekana matokeo yake na kumuacha mwekezaji hewa akipiga mkwanja mrefu kwa kina letu huru.
Umerogwa wewe, Acha kusingizia Yanga
 
Exactly umeongea kiufundi Sana kwenye usajili. Na hapo nasema Kama Yanga wanajua Kuna kupatia au kukosea kwenye usajili kwanini wasiongeze wigo wa idadi ya inaowasajili. Kwanini wasajili wachache? Je GSM hajui au hataki kutumia pesa kwa timu iliyozipa upepo biashara zake.
Simba iliwachukua akina kahata, Chikwembe, Morrison na akina chama na miquison wakawa Bora zaidi.
Hivyo jibu NI liko wazi GSM hajawekeza vya kutosha.
 
Sven siyo kocha wa RS Berkane ni kocha FAR RABAT
 
Mtu ukijiunga jf unajiona una akili na kutoa mashudu kama haya. Hujui wewe ni expect member?
Salary unalipa wewe akiondoka au ndio ukolo? Mudi wenu anatumia bil 4 ushahidi uko wapi?
Tena hilo mudi ndio likwepaji kodi na tapeli kubwa liliwapa wachezaji wenu bodaboda.. 😁😁😁
 
Tuseme kwa sauti kubwa GSM sio.MO na hawezi kutia mpunga wa kuiboresha sawa sawa na Mo[emoji1588]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…