Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji22][emoji22][emoji848][emoji2827]Hii ni km walivyofanya Chadema kumchukua Lowasa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji22][emoji22][emoji848][emoji2827]Hii ni km walivyofanya Chadema kumchukua Lowasa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.
Dada unadhania kuandaa timu ni kitu rahisi,gsm kaikuta Yanga dhofu lihali leo Yanga inaanza kupata mwanga wa mafanikio unaleta uchawi wako,waulize mikia walisufer kwa muda gani kuandaa timu yao,nyie ndio mnaotumika na kina ndama kwa ajili tu gsm kakamatia biashara yenu ya jezi ambayo kipindi mnaiibia Yanga ilikua aifaidiki na chochoteKwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?.
Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia.
Aliyeisaidia yangA kwa Hali na Mali alikuwa mAnji tu. Alisajili na kuifanya timu kuwa Bora.
GSM yupo kufanya unyonyaji. Wamejibrand kupitia yanga lkn wanaiacha yanga ikiwa ovyo mwaka Hadi mwaka.
Kitu pekee walichofanikiwa NI kwenye propaganda. Kwanza walikaa karibu na Manara toka awali ili asiwalenge na kufanya vibaya kwa yanga.
Timu kubwa Kama yanga inataka uwekezaji haswa kitakwimu sio propaganda. Tujue Mo hutumia B. 4 kwa mwaka kwa Simba. GSM hutumia kiasi gAni.
Na ukweli NI kuwa bila yanga GSM ilikuwa sio kitu kabisa. Na ukweli kwa alivyofanikiwa kwenye propaganda GSM.
Tunaojua soka la yanga tunamkumbuka na Abasi Gulamali, Yanga wanakuwa mabingwa wa kistoria kupitia yeye. Yanga ya makombe ndio yeye. Mabingwa wa Tanzania na Afrika mashariki na Kati.
Tujiulize huyu GSM anamizizi yanga au kaingia kidili dili tu.
Mo kuanzia babu yake wote ni Simba je huyu GSM mizizi yake NI soka. Ivi awaoni ata akina chikwembe.
Mafanikio kwa yanga ni suala la muda tu, wachezaji walio sajiliwa ni wazuri sana. Naona kwenye management ndo wanatakiwa wajibrashi.
Watu wengine wanataka waonekane wanajua kuongea hata kama hawana hoja yoyoteWatu Kama nyie mna chembechembe za uchawi Kama sio mchawi halisia,,,unapataje ujasiri wa kumbeza gsm wewe? kabla ya gsm ajaingia yanga timu ilikuwa na hali gani, mishahara unalipa wewe, gharama za kambi unalipa wewe, usajili unasajili wewe, mda mwingine kabla ujapost kitu apa uushirikishe ubongo wako kwanza mkuu!
Ndio maana nasema GSM amefanikiwa kwenye propaganda. Yanga wanahoji udhamini wa MO.hakuna msimu ambao Utopolo huwa hawana matumaini makubwa
Umeshiba propaganda za GSM tu. Ivi ulikuwepo enzi za Gulamali na Manji wewe!?It doesn't matter Mkuu, Ila najua umenielewa ila unachokitaka now ni ubishi na ushabiki ambapo mimi huko siongelei na kama hujanielewa itakuwa ni Jeuri yako tu
Yanga tumerogwa na Nani sijui. Chini ya Mo Simba Ina makombe kibao. Leo hii tunahoji uwekezaji unaoonekana matokeo yake na kumuacha mwekezaji hewa akipiga mkwanja mrefu kwa kina letu huru.Kumbukeni mwamedi anawadai billion 21 alizowakopesha maana simba inaendeshwa kihasara
Umerogwa wewe, Acha kusingizia YangaYanga tumerogwa na Nani sijui. Chini ya Mo Simba Ina makombe kibao. Leo hii tunahoji uwekezaji unaoonekana matokeo yake na kumuacha mwekezaji hewa akipiga mkwanja mrefu kwa kina letu huru.
Hahaha amelogwa yeye anasingizia YangaUmerogwa wewe, Acha kusingizia Yanga
Exactly umeongea kiufundi Sana kwenye usajili. Na hapo nasema Kama Yanga wanajua Kuna kupatia au kukosea kwenye usajili kwanini wasiongeze wigo wa idadi ya inaowasajili. Kwanini wasajili wachache? Je GSM hajui au hataki kutumia pesa kwa timu iliyozipa upepo biashara zake.Hauwezi kuwa MwanaYanga ww, hili la kwanza na pili fuatilia CV ya coach Nasredine Mohammed Nabi pia na coach Cedric Kaze ni makocha wa daraja la Juu sana halafu njoo kwa makocha hawa Coach Gomes, Coach Sven, na Coach Ausems ni makocha wa madaraja sawa na hao wa Yanga ila tofauti yao walijikuta simba ipo kwenye reli tayari na wakafanya nayo vzr ila now angalia Coach Ausems kule Afc Leopard Kenya alivyo na matokeo mabaya na vipi kuhusu Coach Sven wale RS Berkane kawafikisha wapi kwenye ligi kuu ya Morroco na vipi kuhusu michuano ya Africa kawafikisha wapi bila kusahau hapo unakumbuka Gomes alipokuwa Al hilal ya pale Sudan alifanya nini kwenye mashindano ya Afrika
Kwenye swala la usajili hapa huwa kifanyike kitu kinaitwa Gambling, Luis Jose Miquissone alisajiliwa Mamelodi sundowns alishindwa Kuprove ubora wake akarudishwa Ud songo kwa mkopo, ila simba wakamchukua waka Win katika hilo na ikawalipa ila hapo nyuma pia wamewahi kufanya sajili nyingi na hazikuwa lipa na wakapata flop players
Ishu ya mpira ni ufundi kama unaangalia kwa jicho hilo ila kama unaangalia kwa jicho la kiushabiki huwezi kuelewa ninacho kuzungumza
Sven siyo kocha wa RS Berkane ni kocha FAR RABATHauwezi kuwa MwanaYanga ww, hili la kwanza na pili fuatilia CV ya coach Nasredine Mohammed Nabi pia na coach Cedric Kaze ni makocha wa daraja la Juu sana halafu njoo kwa makocha hawa Coach Gomes, Coach Sven, na Coach Ausems ni makocha wa madaraja sawa na hao wa Yanga ila tofauti yao walijikuta simba ipo kwenye reli tayari na wakafanya nayo vzr ila now angalia Coach Ausems kule Afc Leopard Kenya alivyo na matokeo mabaya na vipi kuhusu Coach Sven wale RS Berkane kawafikisha wapi kwenye ligi kuu ya Morroco na vipi kuhusu michuano ya Africa kawafikisha wapi bila kusahau hapo unakumbuka Gomes alipokuwa Al hilal ya pale Sudan alifanya nini kwenye mashindano ya Afrika
Kwenye swala la usajili hapa huwa kifanyike kitu kinaitwa Gambling, Luis Jose Miquissone alisajiliwa Mamelodi sundowns alishindwa Kuprove ubora wake akarudishwa Ud songo kwa mkopo, ila simba wakamchukua waka Win katika hilo na ikawalipa ila hapo nyuma pia wamewahi kufanya sajili nyingi na hazikuwa lipa na wakapata flop players
Ishu ya mpira ni ufundi kama unaangalia kwa jicho hilo ila kama unaangalia kwa jicho la kiushabiki huwezi kuelewa ninacho kuzungumza
👍Sven siyo kocha wa RS Berkane ni kocha FAR RABAT
ExactlyGSM ni mpigaji anayetumia njaa ya Wanayanga kujinufaisha.
Sawa msemaji wa familia ya Gabachori Mo dewjiGSM ni mpigaji anayetumia njaa ya Wanayanga kujinufaisha.