Ukichunguza kwa umakini ndoa ni Shimo la mateso matupu

Ndio sababu unashauriwa mda wa uchumba uwe mrefu ili mchunguzane kwa makini. Ukifanya hilo zoezi vizuri utagundua ndoa ni faraja. Ona vichwa viwili vinavyoelewana vinafanya kazi kwa pamoja, ni maendeleo katika familia. Na mzingatie haya maneno "samahani, salamu, Asante,"
 
 
Mwanamke mweny kazi ndo balaa lake pambana na matatizo yako.
 
Mwanamke mweny kazi ndo balaa lake pambana na matatizo yako.
Mwanamke mbinafsi ndio tatizo sio hata mwenye kazi.

Mwanamke mbinafsi anaweza kuwa na tabia yeyote katika hizi:
1.Hajali hisia zako
2.Hawezi kukusikiliza
3.Hana Upendo na ndugu zako
4.Mchoyo wa vyakula
5.Hataki kukushirikisha kwenye maswala ya uchumi wake na maendeleo.
 
👍
 
Ni mateso kama huna elimu ya kujua mtu sahihi.
Ukimpata wa kufanana nawe mateso utayasikia kwa wengine.
Huwa naepuka sana kuzungumza lolote litakalonitanabaisha kama mjuzi wa haya mambo

Mapenzi/mahusiano hayana formula ni bahati bahati na mikosi tu
 
Wanaume tumeumbwaa,matesoo,matesoo kuhangaika....50/50 imeongeza majanga,tunaish kwa kuviziana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…