GE2025 Ukienda kupiga kura mwaka huu, wewe ndiyo tatizo la Tanzania!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.

Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa

Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
 
Hakika
 
Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU

Ni ngumu kuzuia misukule lakini tunajaribu. Kupiga kura ni maigizo yaani watangazaji wameshatengeneza matokeo bandia. Hata polepole kasema wewe kwenda kupiga kura ni kujidanganya na kujifurahisha tu lakini matokeo tayari wanayo na yamesha tengenezwa. Ndiyo maana tunasema wewe ni tatizo maana unaonyesha uhalali fake. Lakini kama unataka kwenda kumfurahisha mama au kupewa fulani na kofia za bure kuhalalisha wizi wa rasilimali nenda.

Ujiulize tu kwanini watu wakupe fulana na kofia za bure wakati huu!!! je wanapigania nini mpka wakupe vitu vya bure? wananufaika na ni nini hasa? kama ni uzalendo kweli kwanini kusiwe na haki na wanafunga wapinzani wao? bila kujua haya utatumiwa kama misukule
 
Umewahi kuhudhuria vikao au kikao chochote cha kamat tendaji au cha kikazi cha chadema?
Unajua wale watu hawana mbinu yoyote ya kuliongoza hli taifa!
Kwa sababu hujui karb kwenye matusi
 
Mambo ya Chadema yanahusika vipi na mambo ambayo ni ya uwazi na Uraia. Sijasema hapa umpigie nani kura lakini nimesema kupiga kura kwa hali hii hata kama unapigia wala ubwabwa ni msukule. Fikiria wewe kama wewe achana na propaganda angalieni ukweli ambao upo wazi. Kujidanganya ni kujieudisha nyuma na ndiyo maana mpaka leo Tanzania ni masikini.
 
Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.

Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa

Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Umejenga hoja kiufundi mkubwa. HONGERA kwako.

Sasa nikitazama, mada hii imeletwa hapa muda kitambo; lakini haitembei sana; kwa sababu haizungumzii kufichua ufisadi wa akina Samia na Genge lake.

Ujumbe muhimu kama huu utawafikiaje wananchi huko walipo ili wachukue hatua, maana ndio walengwa.
 
Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.

Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa

Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Tatizo zaidi ya wanamtandao
 
Tupige kura au tusipige...bado CCM Itashinda
Ukiona upo neutral katika situation jua upo upande wa tatizo.

Kwasababu unatakiwa kufahamu kuwa ni aidha uonyeshe kukerwa na jambo na kuwa na dhamira au fikra za wazi kulikataa au kuliunga mkono hilo jambo liendelee.

Usiseme kuwa hakuna suluhisho so tutazamane tu ili iweje?🤔
 
Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU
Kwahiyo umesoma hapo na haujaelewa kitu chochote?

Ama kweli mwendawazimu sio wa kujadili nae lolote. Laana ya taifa ikufikie popote ulipo ulipie hesabu uzao wako miaka 400 mjalaana mkubwa wewe Subhanallah.
 
Kweli kabisa , hakuna namna wanao enda kupiga kura ni tatizo, hata wanao enda kwenye kampeni ni tatizo, watu wanamabillion wewe na elfu kumi Yako unaenda kupiga kelele uku umepakizwa kwenye lori,
Akili zetu watanzania bado sana, inawezekana ndo taifa lenye watu wa IQ ndogo duniani , Wanazidi kututia umasikini Ili waendelee kututawala vizuri.
 
Umewahi kuhudhuria vikao au kikao chochote cha kamat tendaji au cha kikazi cha chadema?
Unajua wale watu hawana mbinu yoyote ya kuliongoza hli taifa!
Kwa sababu hujui karb kwenye matusi
Aliyekwambia watanzania kwa ujumla tunashida na CHADEMA ni nani?

Kwahiyo mtu yoyote anayepinga haya yanayoendelea kwa sasa automatically anakuwa ni mwanachama wa CHADEMA na anakuwa anataka CHADEMA ishike inchi?🤔

Hivi ubadhilifu unaofanyika ninyi kama ma'labubu unawafurahisha kwa kitu gani?
 
Back
Top Bottom