ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Kuna jamaa Yangu Mzambia alinicheka sana akasema hivi watz kweli mmezidiwa kete na mwanamke....Yaan mwanamke anawaendeshaaa na nyie mmeukubali umama..Aliongea vitu viliniuma sana ...akauliza ww tangu lini mke akawa mtawala wa familia sasa nyie mlivyo majinga mmekabidhi kabisa nchi kwa mwanamke dah ????na bado kuna wanaume wanashangilia tunatiki....hivj watz tumeleft group..hebu tuitisheni kikao cha wanaume.....Hebu ninyamaze tu maana inauma sana