GE2025 Ukienda kupiga kura mwaka huu, wewe ndiyo tatizo la Tanzania!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna watu wanajua sana kujitoa ufahamu. Hapo anahisi anajenga hoja au anabishana kitaalamu kumbe anaiaibisha familia yake na kufedhehesha wanajamii wenzake.

Kujitoa ufahamu ni kufanya kitu kwa kijidanganya. Yaani unaenda kupiga kura ukijua kabisa tayari wameshatengeneza matokeo huko ni kujitoa ufahau ni sawa na misukule. Ujinga umekuwa sifa
 
Mimi ukiniuliza ni kundi lipi linahatarisha na litaipeleka nchi kutumbukia kwenye machafuko kati ya linalotaka reforms ndio lishiriki uchaguzi na lisilotaka reforms jibu ni jepesi tu nakupa kundi litakalopeleka nchi kuingia kwenye machafuko ni lisilotaka reforms na likiamini lina jeshi , mahakama usalama wa taifa na vidampa ambao wanaweza kuhongwa fulana na vipesa .

Hebu tumsikilize hapo Mwai Kibaki alipochukulia "advantage" ya katiba mbovu , jeshi, polisi, usalama wa taifa na mahakama kujiapisha usiku usiku ikulu hadi akachemka kiapo cha ofisi.

Hicho kitendo tu ndio kiliitumbukiza Kenya kwenye machafuko makubwa kwa miezi 2 hadi baada ya hapo wakaunda serikali mseto na kuona umuhimu wa kufumua mifumo ya taasisi zote na kupata katiba mpya.

Kiburi kinaponza , Kibaki usiku huo sababu ya kiburi naamini hata aliposhauriwa pengine nae alijiita chura kiziwi ila moja ya majuto yake makubwa ilikuwa ni hiyo siku iliyoacha doa kwenye uongozi wake ambalo walau lilipungua kidogo alipowapatia katiba mpya na mifumo mipya ya taasisi.

View: https://youtu.be/qcYD_ZXvh-Y?si=MyOVMiOoPTNMaNkQ
 
Sawa Ila ukitaka kujua wewe si wamaana hata usipotiki bado watajitangaza tu ....huo mfumo ndo hatuutaki uongozi ni utumishi kwa mwananchi sio kwa familia au watu wachache tusipo simama imara mpaka mjukuu wako atateseka kwenye huu mfumo unaoutetea sasa hivi nchii na kutuona tulikuwa zumbukutu tuache ulofa
Kuteseka utateseka tu hata Tundu Lissu awe Rais. Acheni kujidanganya kuwa CDM wakishika madaraka ndiyo mtaletewa hela mfukoni
 
Kuteseka utateseka tu hata Tundu Lissu awe Rais. Acheni kujidanganya kuwa CDM wakishika madaraka ndiyo mtaletewa hela
Hata baba yangu mzazi akishika nchi au mimi peke yangu mapito hayakwepeki.....lakini bado hainipi ruhusa yakuona kitu kinaenda ndivyosivyo nisiseme au nisiongee au watu wasiwajibishwe .....mawazo yangu na ninachokipambania ni viongozi wanaoshika huo uongozi hawawajibiki ipasavyo sasa kunahaja gani ya kuendelea kuchagua viongozi/wabeba maono ambao hawawajibiki vyema na wameshaelewa Aina yenu ya wananchi ambao mmeamua kuwa wapuuzi(kupuuzia mambo) .....tumeshaelewa kosa letu ni upuuzi kwanini tusirekebishe ?kwanini viongozi hichi wanachokitumia kutesa wananchi kwanini wasipokonywe ili iwe funzo? Kwanini pia tusirekebishe sheria ambazo ni kandamizi kwa wananchi na zinaacha nafasi kubwa za kuto wajibisha viongozi?
 
Bahati nzuri au mbaya sina muda huo,ni bora nikalime shamba langu
 
Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.

Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa

Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Hivi hamuogopi kuendelea post hizi ishu humu!??
 
Umewahi kuhudhuria vikao au kikao chochote cha kamat tendaji au cha kikazi cha chadema?
Unajua wale watu hawana mbinu yoyote ya kuliongoza hli taifa!
Kwa sababu hujui karb kwenye matusi
Kwa hiyo ccm ya mama Abduli hii ndio ina mbinu ya kuliongoza taifa?

Aisee nyie machawa ni tatizo kubwa sana nchii hii kuliko hata cancer.
 
Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.

Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa

Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
 
Attachments

  • IMG-20250615-WA0033.jpg
    IMG-20250615-WA0033.jpg
    32.6 KB · Views: 16
Sawa Ila ukitaka kujua wewe si wamaana hata usipotiki bado watajitangaza tu ....huo mfumo ndo hatuutaki uongozi ni utumishi kwa mwananchi sio kwa familia au watu wachache tusipo simama imara mpaka mjukuu wako atateseka kwenye huu mfumo unaoutetea sasa hivi nchii na kutuona tulikuwa zumbukutu tuache ulofa
Kaka huyo uliyemquote nilishatukanana nae sana humu maana kuna siku alisema kitu ambacho kiliniacha mdomo wazi na kiliniudhi sana.

Hapo unavyomuona akitetea huu mfumo dhalimu, ndoto zake na yeye siku moja watoto wake waje wawe sehemu ya watawala hili wasiteseke kama watanzania wa chini wanavyoteseka sasa...

Kwa maana nyingine atafanya kadri awezavyo hili mtoto wake awe sehemu ya watesi wa baadae... na ndio maana unaona anatetea kila aina ya ufisadi na ukatili unaofanywa na serikali ya samia, wala haoni uchungu wowote.
 
Huwezi kunielewa hata kdogo..nyie mnasubiri mambo majukwaani..lakn mle ndani hakuna chochote
Kwamba wewe ni jasusi la ccm ambaye unajua mambo yote na siri zote za vyama pinzani sio?

Kama wewe ni moja ya vijana wao wanaowatumia kwenye ujasusi na kwa akili zako ninazokuona nazo humu, basi kuendelea kuongozwa na ccm ni kulitusi hili taifa.
 
Hata baba yangu mzazi akishika nchi au mimi peke yangu mapito hayakwepeki.....lakini bado hainipi ruhusa yakuona kitu kinaenda ndivyosivyo nisiseme au nisiongee au watu wasiwajibishwe .....mawazo yangu na ninachokipambania ni viongozi wanaoshika huo uongozi hawawajibiki ipasavyo sasa kunahaja gani ya kuendelea kuchagua viongozi/wabeba maono ambao hawawajibiki vyema na wameshaelewa Aina yenu ya wananchi ambao mmeamua kuwa wapuuzi(kupuuzia mambo) .....tumeshaelewa kosa letu ni upuuzi kwanini tusirekebishe ?kwanini viongozi hichi wanachokitumia kutesa wananchi kwanini wasipokonywe ili iwe funzo? Kwanini pia tusirekebishe sheria ambazo ni kandamizi kwa wananchi na zinaacha nafasi kubwa za kuto wajibisha viongozi?
Hawawezi kuwajibika utakavyo; kwa kuwa mfumo wa uwajibikaji Afrika bado ninmdogo sana kuanzia ngazi ya familia hadi taifa. Miaka 100 ijayo haya yatakuja menyewe. Level of civilization ikikua.

Mfano - hata kwenye familia kuna wababa wengi tu hawataki vipto vyao vijulikanne na wake zao - hiyo ndiyo kukosa transprency hivyo unaondosha uwajibikaji... sasa ndio watu hao hao wanakuja kuwa viongozi... ndiyo maana JPM kaumwe weeeee hatuambiwi hadi alivyofariki ndio tunapewa taarifa fuuupi inayoacha loopholes. Huo ndio uwajibikaji kukosekana....

Tunategemea uwajibikji utoke top kwenda down. Yaani Boda karibi wote wameng'oa side mirrors, boda karibu wote hawawezi kusimama kusubiri mataa... sasa watu wa aina hii wakiwa mawaziri si itakuwa ni speed kama zote na kupiga ving'ora un necessary.
 
Kwamba wewe ni jasusi la ccm ambaye unajua mambo yote na siri zote za vyama pinzani sio?

Kama wewe ni moja ya vijana wao wanaowatumia kwenye ujasusi na kwa akili zako ninazokuona nazo humu, basi kuendelea kuongozwa na ccm ni kulitusi hili taifa.
Utakimbilia huko huko..na bado hujasema
 
Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.

Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa

Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Hata usipo piga kura atatangazwa mshindi, na atatunga sheria na utazifuata, tupunguze u keybord worrior
 
Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU
Sababu moja wapo ya wewe kutopiga kura ni hii inayokufanya uingie JF kwa V.P.N kwa kuvunjwa kwa sheria dhidi ya uhuru wa habari, na hili nalo chawa mfundishwe?
 
Back
Top Bottom