Joel
Platinum Member
- Sep 1, 2007
- 1,087
- 635
Kwa kweli JF ya sasa imejaa watu ambao nina wasiwasi nao na vichwa vyao kama vimebeba ubongo ulio timamu.Hivi hata mataahira siku hizi wanaachwa waandike maoni kama haya hapa JF?
Kwa kweli JF ya sasa imejaa watu ambao nina wasiwasi nao na vichwa vyao kama vimebeba ubongo ulio timamu.Hivi hata mataahira siku hizi wanaachwa waandike maoni kama haya hapa JF?
Hakuna wa kuogopa hapa, kura tunapga tena kishindo na hakuna kuna kitu mtafanya wala hakuna cha karma mesenja feki...Kama unahisi hili taifa ni la mange kimambi na huyo maudenda wako haya endelea na huu upuuzi wako.
Ila kumbuka hata Yuda alimsaliti Yesu na Yesu akamsamehe vizuri tu ila laana ndio ili muua.
Endelea kutetea watu wa hovyo wanaolidhurumu taifa na kuwatendea uonevu raia wema, soon Karma ya matendo yako itakuwa delivered to your address.
Wewe huna tofauti na *****, hata mwandiko wako tu unakutanabaisha kwa kiasi gani umelaaniwa. Ukiishafumuliwa marinda tu mshipa wa aibu lazima upasuke. Umebaki kuishabikia ccm tu huku wenye chama chao wanafaidi mema ya nchi!Hakuna wa kuogopa hapa, kura tunapga tena kishindo na hakuna kuna kitu mtafanya wala hakuna cha karma mesenja feki...
Kila mtu anao uhuru wa kuamua aishi vp katika hl taifa bila kuvuruga sheria..wote waliovuruga sheria wapo wanadondoka udenda huko mahakamani..
Hamuwez kulichezea hli taifa kwa kauli za kihuni na kipuuzi eti hatupg kura..
Eti tunaasi..
"KURA TUNAPIGA TENA KWA KISHINDO NA HAKUNA CHA KARMA WALA LAANA"
Inasikitisha sanaKweli kabisa , hakuna namna wanao enda kupiga kura ni tatizo, hata wanao enda kwenye kampeni ni tatizo, watu wanamabillion wewe na elfu kumi Yako unaenda kupiga kelele uku umepakizwa kwenye lori,
Akili zetu watanzania bado sana, inawezekana ndo taifa lenye watu wa IQ ndogo duniani , Wanazidi kututia umasikini Ili waendelee kututawala vizuri.
Siwezi kujibizana na mtu anayepanuliwa kwa kutumia vidole..kwa hyo we ndo mgawa laana?Wewe huna tofauti na *****, hata mwandiko wako tu unakutanabaisha kwa kiasi gani umelaaniwa. Ukiishafumuliwa marinda tu mshipa wa aibu lazima upasuke. Umebaki kuishabikia ccm tu huku wenye chama chao wanafaidi mema ya nchi!
Sawa, lakini angalau usipopiga kura unakuwa hujashiriki kuhalalisha upuuzi...mark my words, ccm wataumia mnoo number ya wapiga kura ikiwa ndogo na itawa alert ya yajayo!!.Tupige kura au tusipige...bado CCM Itashinda
Wakianza kulipa posho kuanzia elfu 50 kwa Kila mpiga kura mnijulishe namini nikajiandikishe, vyenginevyo siwezi poteza muda wangu kwa mafanikio ya mwengine.Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU
Okay, baki na neno lako na mimi nitabaki na langu, haki ndio itaongea.Hakuna wa kuogopa hapa, kura tunapga tena kishindo na hakuna kuna kitu mtafanya wala hakuna cha karma mesenja feki...
Kila mtu anao uhuru wa kuamua aishi vp katika hl taifa bila kuvuruga sheria..wote waliovuruga sheria wapo wanadondoka udenda huko mahakamani..
Hamuwez kulichezea hli taifa kwa kauli za kihuni na kipuuzi eti hatupg kura..
Eti tunaasi..
"KURA TUNAPIGA TENA KWA KISHINDO NA HAKUNA CHA KARMA WALA LAANA"
Baada ya tarehe 29 okt kutiki, hii manoo noo yatakuwepo
Na usipoenda kupiga kura wapo watakaoenda kukuchagulia na utawatii tu utake usitake unless utoke humu uingie field..Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.
Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa
Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Kabisa!Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.
Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa
Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Ila tusipopiga itawashtua sana, hakuna ushindi wenye aibu kama ushindi wa mezani, salamu za sintofahamu ya kinachoendelea Nchini ni wazi kimewafikia watawala, bila shaka na wao wanawaza tumefikaje hapa.Tupige kura au tusipige...bado CCM Itashinda
Ni utaahira mkubwa sana kwenda kushiriki igizo la.kupiga kura ilhali INEC imekwisha pika matokeo wanasubiri tu kuyatangaza.Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.