GE2025 Ukienda kupiga kura mwaka huu, wewe ndiyo tatizo la Tanzania!

GE2025 Ukienda kupiga kura mwaka huu, wewe ndiyo tatizo la Tanzania!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi hata mataahira siku hizi wanaachwa waandike maoni kama haya hapa JF?
Acha tu yaani inafedhesha na kukwaza at the same time. Yaani unatamani ushike fimbo ya mpera utandike ng'ombe ya mtu, upige hadi izimie ili kuisaidia kuondokana na ujinga.
 
Mwaka huu, watakachofanya ni kujaza askali au wanajeshi walio kwenye mavazi ya nguo za kiraia, kwenye kituo kimoja au viwili kila mkoa, wakapiga picha na video na kuweka mitandaoni kuwa vituo vimefurika. Wana mbinu za kitoto sana.
Wameishiwa kabisa. Wanachofanya sasa ni kutuvurugia inchi na kuharibu umoja wa kitaifa ili tu kupata makundi ya kuyatumia kuhalalisha upuuzi na uwendawazimu wao.

MUNGU awabanie muda na kuwawekea magadi wasande tuwakamate
 
Mambo ya Chadema yanahusika vipi na mambo ambayo ni ya uwazi na Uraia. Sijasema hapa umpigie nani kura lakini nimesema kupiga kura kwa hali hii hata kama unapigia wala ubwabwa ni msukule. Fikiria wewe kama wewe achana na propaganda angalieni ukweli ambao upo wazi. Kujidanganya ni kujieudisha nyuma na ndiyo maana mpaka leo Tanzania ni masikini.
Kuna watu wanajua sana kujitoa ufahamu. Hapo anahisi anajenga hoja au anabishana kitaalamu kumbe anaiaibisha familia yake na kufedhehesha wanajamii wenzake.
 
Mungu aingilie kati,,sitakaa nipoteze muda kupiga kula mateso wanayofanya kwa mioyo yetu ni mwehu tu ndo haoini wala hasikii Kuna huyo mmoja sijui nani but anakiburi hata shetani akasome INNALILLAHIWAINNAILAIHIROJIUN.
 
Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.

Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa

Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.

Tanganyika na Zanzibar hakujawahi kuwepo uchaguzi, Huo ni uchafuzi
 
OKTOBA TUNATIKI
 
Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU

OKTOBA TUNATIKI
Sawa Ila ukitaka kujua wewe si wamaana hata usipotiki bado watajitangaza tu ....huo mfumo ndo hatuutaki uongozi ni utumishi kwa mwananchi sio kwa familia au watu wachache tusipo simama imara mpaka mjukuu wako atateseka kwenye huu mfumo unaoutetea sasa hivi nchii na kutuona tulikuwa zumbukutu tuache ulofa
 
Kweli kabisa mkuu, mleta mada upo sahihi kabisa.
Ukiona mtu anaenda kupiga kura mwaka 2025, ujue yeye ndio tatizo, yaani matatizo yote ya nchi hii anayasababisha yeye.
 
Kwahiyo umesoma hapo na haujaelewa kitu chochote?

Ama kweli mwendawazimu sio wa kujadili nae lolote. Laana ya taifa ikufikie popote ulipo ulipie hesabu uzao wako miaka 400 mjalaana mkubwa wewe Subhanallah.
Laana ya taifa ya mange kimambi na maudenda au?
 
Unaenda kumpigia kura Rais yupi ili ashinde ana shindana na nani?
Unaenda kupigia kura kivuli?
Alitakiwa awepo nan ndo ionekane kuna mgombea?
Achen kujipa haki za kipuuzi...mmezila mnataka kubembelezwa nyie kama nani?
Tutapga kura kwa kishindo...hatuwezi kuliweka taifa rehani kwa wanukishaji na wahaini
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sawa Ila ukitaka kujua wewe si wamaana hata usipotiki bado watajitangaza tu ....huo mfumo ndo hatuutaki uongozi ni utumishi kwa mwananchi sio kwa familia au watu wachache tusipo simama imara mpaka mjukuu wako atateseka kwenye huu mfumo unaoutetea sasa hivi nchii na kutuona tulikuwa zumbukutu tuache ulofa
Kwa ninavyoifahamu cdm,hakuna chama pale..bali kuna takataka!
 
Laana ya taifa ya mange kimambi na maudenda au?
Kama unahisi hili taifa ni la mange kimambi na huyo maudenda wako haya endelea na huu upuuzi wako.

Ila kumbuka hata Yuda alimsaliti Yesu na Yesu akamsamehe vizuri tu ila laana ndio ili muua.

Endelea kutetea watu wa hovyo wanaolidhurumu taifa na kuwatendea uonevu raia wema, soon Karma ya matendo yako itakuwa delivered to your address.
 
Back
Top Bottom