HakikaUkienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.
Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa
Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU
Umewahi kuhudhuria vikao au kikao chochote cha kamat tendaji au cha kikazi cha chadema?Ni ngumu kuzuia misukule lakini tunajaribu. Kupiga kura ni maigizo yaani watangazaji wameshatengeneza matokeo bandia. Hata polepole kasema wewe kwenda kupiga kura ni kujidanganya na kujifurahisha tu lakini matokeo tayari wanayo na yamesha tengenezwa. Ndiyo maana tunasema wewe ni tatizo maana unaonyesha uhalali fake. Lakini kama unataka kwenda kumfurahisha mama au kupewa fulani na kofia za bure kuhalalisha wizi wa rasilimali nenda.
Ujiulize tu kwanini watu wakupe fulana na kofia za bure wakati huu!!! je wanapigania nini mpka wakupe vitu vya bure? wananufaika na ni nini hasa? kama ni uzalendo kweli kwanini kusiwe na haki na wanafunga wapinzani wao? bila kujua haya utatumiwa kama misukule
Hivi hata mataahira siku hizi wanaachwa waandike maoni kama haya hapa JF?Umewahi kuhudhuria vikao au kikao chochote cha kamat tendaji au cha kikazi cha chadema?
Unajua wale watu hawana mbinu yoyote ya kuliongoza hli taifa!
Kwa sababu hujui karb kwenye matusi
Umewahi kuhudhuria vikao au kikao chochote cha kamat tendaji au cha kikazi cha chadema?
Unajua wale watu hawana mbinu yoyote ya kuliongoza hli taifa!
Kwa sababu hujui karb kwenye matusi
matusi ya nini mjuba?Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU
Umejenga hoja kiufundi mkubwa. HONGERA kwako.Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.
Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa
Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Tupige kura au tusipige...bado CCM Itashinda
🤮🚮Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU
Tatizo zaidi ya wanamtandaoUkienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.
Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa
Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Uchaguzi wa maigizo huomatusi ya nini mjuba?
Ukiona upo neutral katika situation jua upo upande wa tatizo.Tupige kura au tusipige...bado CCM Itashinda
Kwahiyo umesoma hapo na haujaelewa kitu chochote?Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU
Aliyekwambia watanzania kwa ujumla tunashida na CHADEMA ni nani?Umewahi kuhudhuria vikao au kikao chochote cha kamat tendaji au cha kikazi cha chadema?
Unajua wale watu hawana mbinu yoyote ya kuliongoza hli taifa!
Kwa sababu hujui karb kwenye matusi