GE2025 Ukienda kupiga kura mwaka huu, wewe ndiyo tatizo la Tanzania!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi hata mataahira siku hizi wanaachwa waandike maoni kama haya hapa JF?
Kwa kweli JF ya sasa imejaa watu ambao nina wasiwasi nao na vichwa vyao kama vimebeba ubongo ulio timamu.
 
Hakuna wa kuogopa hapa, kura tunapga tena kishindo na hakuna kuna kitu mtafanya wala hakuna cha karma mesenja feki...
Kila mtu anao uhuru wa kuamua aishi vp katika hl taifa bila kuvuruga sheria..wote waliovuruga sheria wapo wanadondoka udenda huko mahakamani..
Hamuwez kulichezea hli taifa kwa kauli za kihuni na kipuuzi eti hatupg kura..
Eti tunaasi..
"KURA TUNAPIGA TENA KWA KISHINDO NA HAKUNA CHA KARMA WALA LAANA"
 
Wewe huna tofauti na *****, hata mwandiko wako tu unakutanabaisha kwa kiasi gani umelaaniwa. Ukiishafumuliwa marinda tu mshipa wa aibu lazima upasuke. Umebaki kuishabikia ccm tu huku wenye chama chao wanafaidi mema ya nchi!
 
Inasikitisha sana
 
Kupiga kura ni suala la hiari, sio kwa sababu wewe hupigi na wengine wasipige.
Tukubaline kwenye kutokukubaliana!
 
Wewe huna tofauti na *****, hata mwandiko wako tu unakutanabaisha kwa kiasi gani umelaaniwa. Ukiishafumuliwa marinda tu mshipa wa aibu lazima upasuke. Umebaki kuishabikia ccm tu huku wenye chama chao wanafaidi mema ya nchi!
Siwezi kujibizana na mtu anayepanuliwa kwa kutumia vidole..kwa hyo we ndo mgawa laana?
Mnachekesha sana, hata wewe huko uliko hcho chama kina wenyewe ndyo maana kila wakati unawachangia tonetone wanakula wao na familia zao huko kanada, ubelgiji na kwingneko
 
Suala la kula tushaachana nalo, je tunawaondoa vipi FISIem madarakani?
 
Ukipiga kura utakuwa tatzo kwa chadema na wale tulioambiwa kuwa wanatutazama na SI KWA TANZANIA
 
Tupige kura au tusipige...bado CCM Itashinda
Sawa, lakini angalau usipopiga kura unakuwa hujashiriki kuhalalisha upuuzi...mark my words, ccm wataumia mnoo number ya wapiga kura ikiwa ndogo na itawa alert ya yajayo!!.
 
Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU
Wakianza kulipa posho kuanzia elfu 50 kwa Kila mpiga kura mnijulishe namini nikajiandikishe, vyenginevyo siwezi poteza muda wangu kwa mafanikio ya mwengine.
 
Okay, baki na neno lako na mimi nitabaki na langu, haki ndio itaongea.
 
Na usipoenda kupiga kura wapo watakaoenda kukuchagulia na utawatii tu utake usitake unless utoke humu uingie field..
 
Kabisa!
 
Mliopo bongo msifanye kabisa huo ujinga

#Niko France kwa hisani ya TCRA
 
Tupige kura au tusipige...bado CCM Itashinda
Ila tusipopiga itawashtua sana, hakuna ushindi wenye aibu kama ushindi wa mezani, salamu za sintofahamu ya kinachoendelea Nchini ni wazi kimewafikia watawala, bila shaka na wao wanawaza tumefikaje hapa.
 
Ni utaahira mkubwa sana kwenda kushiriki igizo la.kupiga kura ilhali INEC imekwisha pika matokeo wanasubiri tu kuyatangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…