Kuna watu wanajua sana kujitoa ufahamu. Hapo anahisi anajenga hoja au anabishana kitaalamu kumbe anaiaibisha familia yake na kufedhehesha wanajamii wenzake.
CCM Mtandao bado ni CCM, sio chama tafautiKuna ccm na ccm mtandao... Ipi itashinda?
Kuteseka utateseka tu hata Tundu Lissu awe Rais. Acheni kujidanganya kuwa CDM wakishika madaraka ndiyo mtaletewa hela mfukoniSawa Ila ukitaka kujua wewe si wamaana hata usipotiki bado watajitangaza tu ....huo mfumo ndo hatuutaki uongozi ni utumishi kwa mwananchi sio kwa familia au watu wachache tusipo simama imara mpaka mjukuu wako atateseka kwenye huu mfumo unaoutetea sasa hivi nchii na kutuona tulikuwa zumbukutu tuache ulofa
Hata baba yangu mzazi akishika nchi au mimi peke yangu mapito hayakwepeki.....lakini bado hainipi ruhusa yakuona kitu kinaenda ndivyosivyo nisiseme au nisiongee au watu wasiwajibishwe .....mawazo yangu na ninachokipambania ni viongozi wanaoshika huo uongozi hawawajibiki ipasavyo sasa kunahaja gani ya kuendelea kuchagua viongozi/wabeba maono ambao hawawajibiki vyema na wameshaelewa Aina yenu ya wananchi ambao mmeamua kuwa wapuuzi(kupuuzia mambo) .....tumeshaelewa kosa letu ni upuuzi kwanini tusirekebishe ?kwanini viongozi hichi wanachokitumia kutesa wananchi kwanini wasipokonywe ili iwe funzo? Kwanini pia tusirekebishe sheria ambazo ni kandamizi kwa wananchi na zinaacha nafasi kubwa za kuto wajibisha viongozi?Kuteseka utateseka tu hata Tundu Lissu awe Rais. Acheni kujidanganya kuwa CDM wakishika madaraka ndiyo mtaletewa hela
Hivi hamuogopi kuendelea post hizi ishu humu!??Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.
Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa
Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Kwa hiyo ccm ya mama Abduli hii ndio ina mbinu ya kuliongoza taifa?Umewahi kuhudhuria vikao au kikao chochote cha kamat tendaji au cha kikazi cha chadema?
Unajua wale watu hawana mbinu yoyote ya kuliongoza hli taifa!
Kwa sababu hujui karb kwenye matusi
Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.
Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa
Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Kaka huyo uliyemquote nilishatukanana nae sana humu maana kuna siku alisema kitu ambacho kiliniacha mdomo wazi na kiliniudhi sana.Sawa Ila ukitaka kujua wewe si wamaana hata usipotiki bado watajitangaza tu ....huo mfumo ndo hatuutaki uongozi ni utumishi kwa mwananchi sio kwa familia au watu wachache tusipo simama imara mpaka mjukuu wako atateseka kwenye huu mfumo unaoutetea sasa hivi nchii na kutuona tulikuwa zumbukutu tuache ulofa
Lakini hawaaminiani!CCM Mtandao bado ni CCM, sio chama tafauti
Hivi hamuogopi kuendelea post hizi ishu humu!??
Kwamba wewe ni jasusi la ccm ambaye unajua mambo yote na siri zote za vyama pinzani sio?Huwezi kunielewa hata kdogo..nyie mnasubiri mambo majukwaani..lakn mle ndani hakuna chochote
Hawawezi kuwajibika utakavyo; kwa kuwa mfumo wa uwajibikaji Afrika bado ninmdogo sana kuanzia ngazi ya familia hadi taifa. Miaka 100 ijayo haya yatakuja menyewe. Level of civilization ikikua.Hata baba yangu mzazi akishika nchi au mimi peke yangu mapito hayakwepeki.....lakini bado hainipi ruhusa yakuona kitu kinaenda ndivyosivyo nisiseme au nisiongee au watu wasiwajibishwe .....mawazo yangu na ninachokipambania ni viongozi wanaoshika huo uongozi hawawajibiki ipasavyo sasa kunahaja gani ya kuendelea kuchagua viongozi/wabeba maono ambao hawawajibiki vyema na wameshaelewa Aina yenu ya wananchi ambao mmeamua kuwa wapuuzi(kupuuzia mambo) .....tumeshaelewa kosa letu ni upuuzi kwanini tusirekebishe ?kwanini viongozi hichi wanachokitumia kutesa wananchi kwanini wasipokonywe ili iwe funzo? Kwanini pia tusirekebishe sheria ambazo ni kandamizi kwa wananchi na zinaacha nafasi kubwa za kuto wajibisha viongozi?
Utakimbilia huko huko..na bado hujasemaKwamba wewe ni jasusi la ccm ambaye unajua mambo yote na siri zote za vyama pinzani sio?
Kama wewe ni moja ya vijana wao wanaowatumia kwenye ujasusi na kwa akili zako ninazokuona nazo humu, basi kuendelea kuongozwa na ccm ni kulitusi hili taifa.
Hata usipo piga kura atatangazwa mshindi, na atatunga sheria na utazifuata, tupunguze u keybord worriorUkienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa Raisi hajajaza hata form za kugombea na kapitishwa kwa kulazimisha.
Unajua kabisa CCM inaendeshwa na wanamtandao mafisadi wafanyabiashara. Unajua kabisa ndugu wa watoto wa samia, kikwete na Mwinyi wameingizwa bila kupigwa. Unajua kabisa kiongozi wa usalama na IGP ni mafisadi wana mabilioni kwenye bank kwasasa
Sasa wewe upoteze muda wako kwenda kupiga kura ili tu umfurahishe Mama au kwasababu ya uchawa basi wewe ndiye adui mkubwa wa Tanzania. Wewe ndiye unachelewesha sana maendeleo na mabadiliko yenye tija kwa nchi. Wewe pia ni adui wa taifa na haki. Tumia haki yako kaa nyumbani au nenda kaandamane kudai maendeleo.
Sababu moja wapo ya wewe kutopiga kura ni hii inayokufanya uingie JF kwa V.P.N kwa kuvunjwa kwa sheria dhidi ya uhuru wa habari, na hili nalo chawa mfundishwe?Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU