GE2025 Ukienda kupiga kura mwaka huu, wewe ndiyo tatizo la Tanzania!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna jamaa Yangu Mzambia alinicheka sana akasema hivi watz kweli mmezidiwa kete na mwanamke....Yaan mwanamke anawaendeshaaa na nyie mmeukubali umama..Aliongea vitu viliniuma sana ...akauliza ww tangu lini mke akawa mtawala wa familia sasa nyie mlivyo majinga mmekabidhi kabisa nchi kwa mwanamke dah ????na bado kuna wanaume wanashangilia tunatiki....hivj watz tumeleft group..hebu tuitisheni kikao cha wanaume.....Hebu ninyamaze tu maana inauma sana
 
Utakuwa huna kazi ya kufanya au una Mtindio wa ubongo.
 
Sababu moja wapo ya wewe kutopiga kura ni hii inayokufanya uingie JF kwa V.P.N kwa kuvunjwa kwa sheria dhidi ya uhuru wa habari, na hili nalo chawa mfundishwe?
Mm situmii vpn na sijui inafananaje hata
Hapa hakuna cha chawa bali tunajitahd sana kuyaonyesha njia majitu ambayo yanataka kudanganywa na nguruwe pori yashndwe kujitambua kuwa ni matanzania
 

Machawa 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Mungu aingilie kati,,sitakaa nipoteze muda kupiga kula mateso wanayofanya kwa mioyo yetu ni mwehu tu ndo haoini wala hasikii Kuna huyo mmoja sijui nani but anakiburi hata shetani akasome INNALILLAHIWAINNAILAIHIROJIUN.
Matokeo wanayo mfukoni kura ni maigizo tu
 
Umewahi kuhudhuria vikao au kikao chochote cha kamat tendaji au cha kikazi cha chadema?
Unajua wale watu hawana mbinu yoyote ya kuliongoza hli taifa!
Kwa sababu hujui karb kwenye matusi
Ukimaliza kuvuta Bangi kojoa ukalale
 
Nipe sababu za msingi za kutokupga kura..
Yaan nisiende kisa maudenda na chadomo wamezila?
HUO UTAKUWA NI UMAKU
Wewe umeshapotelea kwa shetani huna haja upewe sababu kwani ni kupoteza mda bure,
 
Kuna watu wanajua sana kujitoa ufahamu. Hapo anahisi anajenga hoja au anabishana kitaalamu kumbe anaiaibisha familia yake na kufedhehesha wanajamii wenzake.
Wewe ndiyo umejitoa fahamu kubariki uonevu manyanyaso na wizi wa kura
 
Hakuna cha kufanywa lakini upo humu unahaha kuandika kusisitiza Maigizo uonevu kwa kisingizio cha kifala eti kulichezea Taifa kwa kauli za kivuni yaana kukataa utekaji mauaji manyanyaso ni kauli za kihuni? Kudai Tume huru ya uchaguzi ni kauli za kihuni? Kura utapiga za kishindo kwa uchaguzi upi? Tanzania kuna uchaguzi? Hayo maigizo ya uchaguzi yamekutia wazimu mpaka umejitoa fahamu zote
 
Hata usipo piga kura atatangazwa mshindi, na atatunga sheria na utazifuata, tupunguze u keybord worrior
Hakukuwa na haja ya kampeni kupoteza pesa na mda bure wakati matokeo unayo mfukoni, jitangazie Ufalume maisha yaendelee kuliko kupoteza pesa kwa maigizo ya uchaguzi Hewa
 

Nasisitiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…