Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kwani kazungumzia kagera ya mtukula tu au yote kwa ujumla?Wewe kweli hujaelewa mada. Sasa wewe hapo kama kijana wa kitanzania unaweza kutoka Dar ukaja kutafuta maisha Izimbya??
Achana na wakazi, mikoa yote ukiangalia wakazi unakutaga wana maisha mabovu kuliko wanaokuja kutafuta. Hilo ni jambo la kawaida.
Hapa tunaongelea uwezekano wa huyo wa kuja kutumia fursa zilizopo kutoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app