Nadhani wote mmesikia kilichomtokea Zuchu huko Mbeya, Sio kosa lake, Hakujua kwamba yupo eneo tofauti kabisa, Alikuwa akipigia sana debe viongozi bila kujua kufanya hivyo ni kuamsha hisia kali wasizozipenda wanambeya wasiopenda mambo ya kutukuza sana viongozi (Uchawa)
Na kama unaingiza mambo ya uchawa basi jua kubalance, usizidishe.
1. Kilimanjaro - Pamoja na mazingira magumu ya kuwa upande wa upinzani, Vyam vilivyoweza kuleta upinzani mkubwa nchini huwa vina viongozi wa mkoa huo kuanzia TLP, NCCR, CHADEMA, n.k. ni watu ambao wamefikia levels za juu zaidi kwenye mambo ya upinzani.
2. Mbeya - Huku watu wanapenda sana haki ndio maana hii Nchi unapozungumzia watetezi wengi wanatokea huko, Kina Nay wa Mitego kakulia Mbeya kabla ya kwenda DSM, Mwabukusi, Mawakili wa vyama pinzani, Kesi ya Bandari ilipiganiwa Mbeya, n.k. Jamhuri ya Twitter wapo kina Sativa, Mdude, Boni Yai, n.k.
3. Mara - Nje ya kuwa maarufu kwa kumtoa Nyerere kiongozi alielitanguliza taifa bila kujipendelea mkoa wake pamoja na kuacha alama ya mkoa uliojitolea zaidi kwenda kuipigania nchi Kagera, Ni watu wenye misimamo yao hawapendi mambo ya uchawa uliopitiliza., Jamhuri ya Twitter wapo kina Martin Masese.
PIA SOMA
- Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa