Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
- Thread starter
-
- #41
We jifanye tu mtakatifu.Mtoto anakutukanaje? Itakua umejiweka kihuni sana,
Mtu aliyekaa kiheshima hawezi kudharauliwa na mtoto hadi kufikia kutukanwa, duh!
Dah,nimecheka Sana.😅😅😅
Hujawai kuona mpo sebuleni mtoto hataki kupita hata karibu yakoo.. kuna mifinyo pia ya siri.. mtoto anashindwa kulia wala kucheka ila anakuwa hakusogelei hata akitumwa kwako unaona kanatingisha tu mageba
Hongera but sio kila mtoto atakuja kwako.Watoto wakorofi ndio nawapenda sana, wakija kwangu nawapa upendo hadi wanabadilika na kua good kids.... ila kumbuka raha ya mtoto awe katundu tundu asipooze sana na asizidishe utundu, tutamuhisi ana tatizo la Afya ya Akili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We jifanye tu mtakatifu.
Hujakutana na vitoto vitukutu vikakutegeshea miguu hiyo uangukie kwenye masizi ya mkaa.
uswazi wapo watoto wenye malezi na tabia nzuri tu. Utahamisha wangapi ? Hiyo sio suluhishoKama ni Uswazi basi shida haipo kwa Mtoto bali ni mazingira yaliyomzunguka Mtoto, hapo badala ya kumsulubu Mtoto ni lazima ahamishwe hayo mazingira
Tunamzungumzia huyo mtoto mwenye tabia mbaya ambayo ni wazi imeathiriwa na mazingirauswazi wapo watoto wenye malezi na tabia nzuri tu. Utahamisha wangapi ? Hiyo sio suluhisho
Hahaha aise nmecheka mpaka watu wamenishangaa hapa bar.Ningekaambia tu.. “ Junia try Jesus, don’t try me☺️ ntakuvunja!!
Hahaha aise nmecheka mpaka watu wamenishangaa hapa bar.Ningekaambia tu.. “ Junia try Jesus, don’t try me☺️ ntakuvunja!!
Wazazi wana jukumu la kumpa malezi yenye maadili bila kujali mazingira aliyopo mtoto. Mpaka mtoto anakosa adabu kwa kiasi hicho ni dhahiri kuna sehemu wazazi wamezembea kimaleziTunamzungumzia huyo mtoto mwenye tabia mbaya ambayo ni wazi imeathiriwa na mazingira
Kumtia mtoto nidhamu sio ukatili weweKwa kua wewe ulilelewa kikatili ndio unataka uwafanyie watoto wengine ukatili!
Ukiwa katili huwezi kutofautisha aina za ukatili hata ulichoandika tu hapo ni ukatili.Kumtia mtoto nidhamu sio ukatili wewe
Unakajibu kwani nimekuja kuishi kwenu, acha upumbavu ntakugongeaha tena ukiendelea kunijibu ovyoUkikafinya katakwambia toka kwetu.[emoji16]
Basi ulipaswa uwaadhibu wazazi kwa kushindwa kumpa malezi bora mtoto na sio mtotoWazazi wana jukumu la kumpa malezi yenye maadili bila kujali mazingira aliyopo mtoto. Mpaka mtoto anakosa adabu kwa kiasi hicho ni dhahiri kuna sehemu wazazi wamezembea kimalezi
Furaha gani ya kufinywa na kukwaruzwa na makucha?Halafu huyo mtoto wala sio mtukutu ila yupo excited kumuona Anko wake ndio maana anampandia pandia kwa furaha ila kwa kua watu mmejazwa roho mbaya na ukatili hata furaha ya watoto mnaigeuza chuki,
Hii gender ya Kiume ingeteketea tu [emoji849]
Wazazi watajijua wenyewe ila mtoto lazima nimfundishe nidhamu. Ukikutana nao ndio utanielewa now utaona kama nawaonea au ukatili. Samaki mkunje angali mbichiBasi ulipaswa uwaadhibu wazazi kwa kushindwa kumpa malezi bora mtoto na sio mtoto
Leo umenifanya nijisikie vibaya kweli,yaan unatetea tunavyodhalilika mbele ya watoto et ni ukatili..kuna mahali unapotoka mkuuBasi ulipaswa uwaadhibu wazazi kwa kushindwa kumpa malezi bora mtoto na sio mtoto
Mtoto mdogo ana kucha gani za kuku umiza wewe wakati mkiwa na watu wazima wenzenu mnaparurana makucha na kung'atana kama mazombi wenyewe mnaita Love Bites wala hamlalamikiFuraha gani ya kufinywa na kukwaruzwa na makucha?
Acha upumbafu Nani alikuwa hyo PhD mnk sijui unachangiaje hoja msomi wa phdKama wewe sio mnafki kwanini usimkemee hapo hapo mbele ya wazazi wake? Kwanini usubiri hawapo ndio umfinye? Nyie ndio mnalawiti watoto kwa roho mbaya zenu.
Nyie wanawake mna akili za hovyo.Kama wewe sio mnafki kwanini usimkemee hapo hapo mbele ya wazazi wake? Kwanini usubiri hawapo ndio umfinye? Nyie ndio mnalawiti watoto kwa roho mbaya zenu.