Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

Bei sio tatizo,akutajie kwanza gharama ya kuikomboa Bandarini na ukiwa na hii gari Bashite lazima akuweke kwenye list ya Wauza Ngada kama si ya Mashoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiogope bei ya hio gari....ukikamatwa na trafiki inamalizana nae yenyewe wewe umetulia tu ndani unakula kiyoyozi huku unasikiliza nyimbo mpya ya baba diamond.
 
Mkuuu ni
ranger zote au kuna specific,maana kuna vogue,velar...n.k
 
Hii gari kama wewe ni baba na hujaacha hela nyumbani haitowaka. Na ukitaka kumpakiza mchepuko mlango haufunguki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…