Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!


Ndo maana madereva wa uber wanagombana na wateja kisa location
 
Bujibuji class
 
Mtu mwenye range atakwenda Mbwite na Zutu kufanya nini?
😝😝😝 Hujanielewa kabisa, Mbwinde ni kijiji ambacho nimekitolea mfano waTanzania wengi asili yetu ni vijijini sasa ikatokea unaenda kwenu nyashichoke likazima njiani na kama mleta mada alivyosema linaweza kujiendesha kwa umeme sasa je GPS itawezaje ku_trace location ya kituo cha mafuta kilipo wakati 2G yenyewe hakuna?
 
Hahahaaa.....[emoji23][emoji23]
Google map nimeshawahi kutumia mara tatu tu na ilinisaidia kwa kweli...Mara ya kwanza na ya pili ni hapa Arusha na ikanifikisha sehemu niliyotaka bila magumashi...umbali wa kama km 16 hivi...mara ya tatu Dar kutoka mwenge Kuelekea mtaa flani ambao sikuwa kufika...kwa kweli ilinitendea haki..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaenda sehemu za town zinazojulikana haina shida inakupeleka vizuri kabisa, tatizo ukienda ndani ndani huko nje ya mji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…