Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Aisee yule jamaa hana lugha nzuriSir Jeff kabla hajaenda X (twitter) alianzia huku jf uropokaji wake
Sir Jeff kilichomponza ni Siasa. Alijisahau akajua yupo kwenye ulimwengu wake wa Forex. Ajifunze kwa Jack Ma, Serikali ya China ilichomfanya alipotaka kuja na Ant Group IPO, kwaajili ya Digital Currency yake na kuanza kuidharau serikali.Sir Jeff kabla hajaenda X (twitter) alianzia huku jf uropokaji wake
Ukiamua unaweza uka conceal progress zako , ukijiweka mbali na show off za mitandaoni sio rahisi watu kukufuatiliakukaa kimya ndo mtihani unaweza kaa kimya wewe ila vitu vikaongea kama majumba, magari, bata
mbona yule tajir wa kihaya anajipost yeye na mali zake plus michambo mingi kwa watu lakini hajakutwa na jambo?,,,
Tena bora hio kuliko mdomo wako uongeekukaa kimya ndo mtihani unaweza kaa kimya wewe ila vitu vikaongea kama majumba, magari, bata
Yule anavuta na kupuliza ππππmbona yule tajir wa kihaya anajipost yeye na mali zake plus michambo mingi kwa watu lakini hajakutwa na jambo?,,,
π―Yule wala sio uropokaji wa pesa....
Yule alijikuta amejiingiza kwenye siasa, dizain nae qkawa mpiga spana ....
Sasa kutokana na kujionesha kwake mbanga zake, majamaa yakamtaftia sababu ya kumkamata make alianza kudili na mbao huko iringa, akaundiwa zengwe, kuna miti ambayo ni marufuku kukata... mpaka uwe na kibali !
Kumbe ndo yaliyomkuta maana wengi tupo njiapanda tulikuwa hatujui source ya matatizo yakeYule wala sio uropokaji wa pesa....
Yule alijikuta amejiingiza kwenye siasa, dizain nae qkawa mpiga spana ....
Sasa kutokana na kujionesha kwake mbanga zake, majamaa yakamtaftia sababu ya kumkamata make alianza kudili na mbao huko iringa, akaundiwa zengwe, kuna miti ambayo ni marufuku kukata... mpaka uwe na kibali !
aisee,, sema hapa duniani ni kukaa ki masta tu japo namhurumia ambavyo alikua na kimwili kidogo sijui saivi kabaki namna gani,, ila ndo maishaHuyo aligusa maslai ya serikali, huku akijua fila yeye sio msafi kwenye biashara zake.
π π π kuuumbe sema ana mbwembwe sana yule jamaaYule anavuta na kupuliza ππππ
Kimemlamba hii ndo ardhi ya mbambaduAisee yule jamaa hana lugha nzuri
Mixed feelings inachekesha na kusikitisha at the same timeaisee,, sema hapa duniani ni kukaa ki masta tu japo namhurumia ambavyo alikua na kimwili kidogo sijui saivi kabaki namna gani,, ila ndo maisha
πππKimemlamba hii ndo ardhi ya mbambadu