Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tuu😂😂😂😂mnapitia mengi
pole sanaAcha tuu
Inapendeza wanandoa kila mtu anakuwa na nyumba yake,mnakuwa mnatembeleanaSioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Inapendeza wanandoa kila mtu akawa anaishi wilaya tofauti mkawa mnatembeleanaInapendeza wanandoa kila mtu anakuwa na nyumba yake,mnakuwa mnatembeleana
Na ndivyo ilivyokuwa hata kwa wazee wetu, ndio maana ndoa zao hazikuwahi kuwa na migogoro.Inapendeza wanandoa kila mtu anakuwa na nyumba yake,mnakuwa mnatembeleana
Wazee wa zamani walikuwa wanalala room tofauti au vitanda tofauti. Kuna kitanda cha baba hiko special tu hakilaliwi na mtu isipokuwa mama mtu tu akihitajika ndio anajumuika na mshua.Na ndivyo ilivyokuwa hata kwa wazee wetu, ndio maana ndoa zao hazikuwahi kuwa na migogoro.
Mwamba amenishangaza Sana.Yan unapewa dawa ya kutoa sttess unakataa😄
Ni nzuri zaidi kama mkiishi nchi tofauti.Inapendeza wanandoa kila mtu akawa anaishi wilaya tofauti mkawa mnatembeleana
Hahahahaaaa,hii sasa kibokoInapendeza wanandoa kila mtu akawa anaishi wilaya tofauti mkawa mnatembelea
Hahahahaaaa,nyie ni wehuNi nzuri zaidi kama mkiishi nchi tofauti.