Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Hii niliona wakat tukiwa wadogo tulipokuwa tunawatembelea babu na bibi,kwa akili yangu nilihis kwa vile wamezeeka ndo waliamua kila mtu kuwa na kitanda chakeWazee wa zamani walikuwa wanalala room tofauti au vitanda tofauti. Kuna kitanda cha baba hiko special tu hakilaliwi na mtu isipokuwa mama mtu tu akihitajika ndio anajumuika na mshua.