Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Mtazama wako tu bro, tunauzoefu wa issue ndio maana tunaongea hivyo.Kuna swali kwako,Je umeoa/umeolewa jibu lolote utakalo toa jua wewe haukuumbwa kwa jambo hilo kama wewe ni mwanaume basi utoto unakusumbua,kama wewe ni mwanamke basi wewe ni kifaa cha mazoezi kwa wanaume rijari huna tofauti na (corn za mazoezi au bips).