Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Kabla ya kuoa na kuolewa hizo huduma zilipatikanaje?Kwa afrika hii wa aina yako sio wengi.
Wenzio wengi wanaoa ili wapate hizo huduma.
Kuoa na kuolewa kwangu nadhani ni kuendeleza uzazi, hayo mengine ni ubinafsi tu na kujipenda, imagine wanaume nguo zetu zilivyo ngumu mtu unakuwa na amani wakato mwanzako ana taabika kuzisugua!