Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Yani kawaida tu bila Sababu za msingi mke na mume mlale vitanda tofauti????

Mhmm itakua kuna shida mahala sio bure!

Cc Smart911
 
Hata siku akisafiri ama wewe umesafiri unaweza kuoata shida ya kulala kwa vile mna maziea ya kulala pamoja
Yes.
Ila kwa watu wengi ukisikiaa mke na mume wanalala vyumba tofauti ujue meli inazama.

Binafsi,ni vile tu mume akiwa mbali na mke anapata shida ya huduma kama chakula,kufuliwa na kutunziwa mazingira ila kama uchumi unaruhusu natamani kila mtu akae kwenye nyumba yake ila mji mmoja.Mnapanga tu ratiba zenu za kutembeleana na kila mtu anaishi kwa kujiheshimu.
 
Aisee mimi binafsi nisicho weza ni kufuliwa, kutengewa maji ya kuoga, kutengewa chakula, kuambiwa pole naona kama utumwa na utwana!
Sina hakika mpaka hapa nilipo nitakuja kufanyiwa hivyo!
 
Kwa afrika hii wa aina yako sio wengi.
Wenzio wengi wanaoa ili wapate hizo huduma.
 
Back
Top Bottom