Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Mwamba amenishangaza Sana.
Ukiwa na stress mwanamke anakuwa kero mkuu trust me. Tena wanawake wanakuwa na maswali ya kijinga jinga ambayo yanachosha na utatamani ukimbie nyumba.

Yaani ukikaa kimya anaona una mdharau na nguvu ya kumjibu unakuwa hauna yaani balaa tupu.
 
Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Haya ndo maisha sasa mkuu.
Kila mtu chumba chake ingekua safi zaidi.
Ni vile tu wengi wetu uchumi hauruhusu
 
nakuunga mkono asilimia 100%

sometimes mtu una stress mkeo anakusemesha kitandani unamkaushia anadhani umenuna

na yeye unarudi kesho yake kutoka kazini naye anakuvimbia wiki zima naona ndio maana watu wanasema ndoa ngumu ila

kiukweli ukiishi katika code kama hizi naona kama kuna kiasi uanaweza solve vimeo kibao
Kabisa.
 
Ndio maana napendaa room kuwe na vitanda viwili....kila mtu akirudii na stress zake anapanda kitandani kwake analala...Mkimissiana sasa sio mchezo Mambo yanakuwaa bam bam..naipenda Sana hii lifestyle ya kila mtu na bed yake. Ni yakizamani lkn ni nzuriiii mnooo
 
nakuunga mkono asilimia 100%

sometimes mtu una stress mkeo anakusemesha kitandani unamkaushia anadhani umenuna

na yeye unarudi kesho yake kutoka kazini naye anakuvimbia wiki zima naona ndio maana watu wanasema ndoa ngumu ila

kiukweli ukiishi katika code kama hizi naona kama kuna kiasi uanaweza solve vimeo kibao
Kama Mimi napenda kila mtu alale kitanda chakee...naenjoy Sana...Nafurahi ile asubuhi unaamka unamfuata mwenzio kitandani au anakufuata mnapiga story mbili tatuu..mnajiandaa kwenda kazini..Magomvi yanakuwaa hayapoo[emoji4][emoji4]...siku mkimissiana sasaa..
 
Wazee wa zamani walikuwa wanalala room tofauti au vitanda tofauti. Kuna kitanda cha baba hiko special tu hakilaliwi na mtu isipokuwa mama mtu tu akihitajika ndio anajumuika na mshua.
Bi mkubwa anajua akikaa hapo ni kukamuliwa mafuta na maji, kudadeki wanaume mnafaidi mbwa nyie🙊
 
Walikuwa na akili aisee!kuna muda binadamu unahitaji space,unafika kitandani mtu kachanua miguu kitanda kizima uanze kumwambia sogea basi aaaah!mara ajivutie shuka yote peke yake ukistuka usiku mwili wa baridiii kumbe umelala bila shuka masaa matano
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Spacee muhimu sana af inaongeza ashkii
 
Back
Top Bottom