Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Maisha ya Wafalme wa Uingereza haya.

Prince Philip na Queen Elizabeth wslijuwa wanaishi hivyo.

Ila wabongo wengi hawawezi kukuelewa.
Yaan mke wangu alale mwenyewe ??

Unaelewa maana ya kuwa??
 
Kweli penye miti hapana wajenzi, yaani wengine tukiguswa na kalio tu hata kama tumewekea drip tuko hoi kitandani tunaisitisha kwanza ugonjwa na kuanza kusherekea kalio
 
Wewe mtu masikini ambaye dunia hii ulicho nacho na unachoweza kuwaza ni mke tu lazima umng'ang'anie sana.
Hapa bongo lazima ulale na mkeo,

Yaan ulale kizungu zungu Kama malkia unakuja shtuka mkeo kashabebwa na wengine,

Bongo kila siku ulale nae na Moto upelekee
 
Kweli penye miti hapana wajenzi, yaani wengine tukiguswa na kalio tu hata kama tumewekea drip tuko hoi kitandani tunaisitisha kwanza ugonjwa na kuanza kusherekea kalio
🤣🤣🤣🤣
 
Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
huwa naangalia movie za wazungu naona mara nyingi wanalala kila mtu kwake ukimiss mwenzako unaenda kulala kwake ila baada ya hapo kila mtu ana lala kwake
 
Ndiyo maana umasikini hauishi.
Utajiri ni dhana tuu mkuu, Sisi wasukuma utajiri wetu ni mke watoto na ngombe.

Hao wakina malkia wenyewe possible ni wanavunga tuu, camera zikitolewa wanalala pamoja wanakulana
 
Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
nakuunga mkono asilimia 100%

sometimes mtu una stress mkeo anakusemesha kitandani unamkaushia anadhani umenuna

na yeye unarudi kesho yake kutoka kazini naye anakuvimbia wiki zima naona ndio maana watu wanasema ndoa ngumu ila

kiukweli ukiishi katika code kama hizi naona kama kuna kiasi uanaweza solve vimeo kibao
 
Maisha ya Wafalme wa Uingereza haya.

Prince Philip na Queen Elizabeth wslijuwa wanaishi hivyo.

Ila wabongo wengi hawawezi kukuelewa.
Pamoja nao hata wazee wetu wa zamani na wa sasa ila walioko huko vijijini ndio mfumo wa maisha yao ulivyo, ila sisi vijana wa bongo kulala na mwenzi mmekumbatiana usiku kuchwa , mchana kutwa mna bebisha kubusiana kushikana shikana baada ya mwaka mnakinaina nakuchokana kinachoendelea hapo ni kukerana na kuachana moja kwa moja.
 
Ndiyo maana umasikini hauishi.
Utajiri ni dhana tuu mkuu, Sisi wasukuma utajiri wetu ni mke watoto na ngombe.

Hao wakina malkia wenyewe possible ni wanavunga tuu, camera zikitolewa wanalala pamoja wanakula
huwa naangalia movie za wazungu naona mara nyingi wanalala kila mtu kwake ukimiss mwenzako unaenda kulala kwake ila baada ya hapo kila mtu ana lala kwake
Hayo mambo sio yakuiga kabisaaa

Lala na mkeo, mpelekeee Moto kilasiku
 
Back
Top Bottom