Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Pamoja nao hata wazee wetu wa zamani na wa sasa ila walioko huko vijijini ndio mfumo wa maisha yao ulivyo, ila sisi vijana wa bongo kulala na mwenzi mmekumbatiana usiku kuchwa , mchana kutwa mna bebisha kubusiana kushikana shikana baada ya mwaka mnakinaina nakuchokana kinachoendelea hapo ni kukerana na kuachana moja kwa moja.
Mjue hamjapendana
 
Utajiri ni dhana tuu mkuu, Sisi wasukuma utajiri wetu ni mke watoto na ngombe.

Hao wakina malkia wenyewe possible ni wanavunga tuu, camera zikitolewa wanalala pamoja wanakulana
Nyie mnazaana kama sungura halafu mnaomba misaada msaidiwe kulea.

Hata bajeti ya kuendesha nchi hamuwezi kutimiza.

Mnaona akili hiyo?
 
Pamoja nao hata wazee wetu wa zamani na wa sasa ila walioko huko vijijini ndio mfumo wa maisha yao ulivyo, ila sisi vijana wa bongo kulala na mwenzi mmekumbatiana usiku kuchwa , mchana kutwa mna bebisha kubusiana kushikana shikana baada ya mwaka mnakinaina nakuchokana kinachoendelea hapo ni kukerana na kuachana moja kwa moja.
Maigizo matupu na kuendekeza upwiru bila kutumia akili.
 
Utajiri ni dhana tuu mkuu, Sisi wasukuma utajiri wetu ni mke watoto na ngombe.

Hao wakina malkia wenyewe possible ni wanavunga tuu, camera zikitolewa wanalala pamoja wanakula

Hayo mambo sio yakuiga kabisaaa

Lala na mkeo, mpelekeee Moto kilasiku
mimi huwa napenda kufanya vitu ambavyo havifanywi na wengi
 
Wazee wa zamani walikuwa wanalala room tofauti au vitanda tofauti. Kuna kitanda cha baba hiko special tu hakilaliwi na mtu isipokuwa mama mtu tu akihitajika ndio anajumuika na mshua.
Walikuwa na akili aisee!kuna muda binadamu unahitaji space,unafika kitandani mtu kachanua miguu kitanda kizima uanze kumwambia sogea basi aaaah!mara ajivutie shuka yote peke yake ukistuka usiku mwili wa baridiii kumbe umelala bila shuka masaa matano
 
nakuunga mkono asilimia 100%

sometimes mtu una stress mkeo anakusemesha kitandani unamkaushia anadhani umenuna

na yeye unarudi kesho yake kutoka kazini naye anakuvimbia wiki zima naona ndio maana watu wanasema ndoa ngumu ila

kiukweli ukiishi katika code kama hizi naona kama kuna kiasi uanaweza solve vimeo kibao
Hii mimi binafsi imenisaidia sana , mnaweza kwenda hata mwaka bila kupishana kauli.
 
Moja kwa moja, wenye ndoa zao mkilala ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress zako kibao sana, huwa ni kama kero na stress zaidi.

Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendi.
Pole..
 
Lala na mkeo mkumbatie, kama ana mimba mpapase tumbo taratibu wanapenda sana, na akiutaka unambless kwa angle hiyo. Ma stress bottle up like a man.

Learn to create boundaries, COMPARTMENTALIZE that shit.
 
Walikuwa na akili aisee!kuna muda binadamu unahitaji space,unafika kitandani mtu kachanua miguu kitanda kizima uanze kumwambia sogea basi aaaah!mara ajivutie shuka yote peke yake ukistuka usiku mwili wa baridiii kumbe umelala bila shuka masaa matano
Huu uzi mbona umejaa wazinzi watupu? Kuna nini? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom