Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Kula kila mtu na kitanda chake hii nakuunga mkono naenda mwaka wa6 sasa nalala kwenye kitanda pekee yangu wife na mtoto

Akija kwangu anakuja kupata sakarament tu na kitubio akimaliza arudi hukoo.
 
Babu kuna aina ya stress mtu ukizipata hata uume unasahau kama unao... omba yasikukute tu.
Hahaha......poleni sana Mkuu

Ila usipitishe zaidi ya Siku 7 hujadu na Mkeo/Mpenzi wako

Kwanza huo mtindo wao kukusogezea makalio, hata ukiwa una stress elfu 10 utajikuta mnala unasoma tu taratibu.

Mwisho wa Siku, unafanikiwa kumpa stahiki yake
 
Stress ya kumtia mimba housegirl mboo haiwezi simama Abadan...
Yaani Wanawake walivyo wengi hivyo Mtaani nianze kuhangaika na House girl

Hata Wife asafiri Mwaka mzima aniache na House girl, sitamgusa hata Kwa bahati mbaya

Bora nisafiri kilomita 1000 kwenda kutafuta hiyo huduma lakini sio Kwa house girl
 
Moja kwa moja, wenye ndoa zao mkilala ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress zako kibao sana, huwa ni kama kero na stress zaidi.

Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendi.
Unashindwa nini kugeuka!?
 
Kula kila mtu na kitanda chake hii nakuunga mkono naenda mwaka wa6 sasa nalala kwenye kitanda pekee yangu wife na mtoto

Akija kwangu anakuja kupata sakarament tu na kitubio akimaliza arudi hukoo.
Same with me bro, nae mama ana apata uhuru mzuri kwa kulala na mtoto
 
Kula kila mtu na kitanda chake hii nakuunga mkono naenda mwaka wa6 sasa nalala kwenye kitanda pekee yangu wife na mtoto

Akija kwangu anakuja kupata sakarament tu na kitubio akimaliza arudi hukoo.
Hii mimi ndio naitumia sasahivi naona nalala usingizi mwanana sana bila kero🤣 za mtoto.
 
Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Ni vema kulala vyumba tofauti ili usiku ujiachie kwa raha zako....ujambe bila hofu.
 
Back
Top Bottom