Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Umeamua umtukane mamchagaa amsusie mzigo Gani? 😂😂Yaan Kama humfanyii haya shemeji, jiandae yeye kuchepuka.
Inatakiwa ufanye Kama unamsusia mzigo kimtindo hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamua umtukane mamchagaa amsusie mzigo Gani? 😂😂Yaan Kama humfanyii haya shemeji, jiandae yeye kuchepuka.
Inatakiwa ufanye Kama unamsusia mzigo kimtindo hivi
Umeoa!?Mimi siwezi kwa kweli, bora ni lale chini kuliko kulala na mtu, nadhani ni mazoea toka utoto wangu nilikua nalala peke yangu.
Si mnapwiruana, afu baadae kila mtu anaenda kulala kwake.Kulala mwenyewe ni raha sana tatizo ni upwiru tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yan unapewa dawa ya kutoa stress unakataa[emoji1]
Semaa kwelii mtanii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mzungu wa nne nao pia ni ulalaji pendwa kwa wana ndoa.
Basi tulia!Hata kama ningekuwa nimeoa au ningekua na mwanamke silali na mwanamke
Yaah!Umeoa!?
Yaan mke wangu alale mwenyewe ??Maisha ya Wafalme wa Uingereza haya.
Prince Philip na Queen Elizabeth wslijuwa wanaishi hivyo.
Ila wabongo wengi hawawezi kukuelewa.
Kuna wachaga wamejaaliwa wewe....Umeamua umtukane mamchagaa amsusie mzigo Gani? 😂😂
Why mlale mzungu wanne?¿Kuna mzungu wa nne nao pia ni ulalaji pendwa kwa wana ndoa.
Wewe mtu masikini ambaye dunia hii ulicho nacho na unachoweza kuwaza ni mke tu lazima umng'ang'anie sana.Yaan mke wangu alale mwenyewe ??
Unaelewa maana ya kuwa??
Hapa bongo lazima ulale na mkeo,Wewe mtu masikini ambaye dunia hii ulicho nacho na unachoweza kuwaza ni mke tu lazima umng'ang'anie sana.
🤣🤣🤣🤣Kweli penye miti hapana wajenzi, yaani wengine tukiguswa na kalio tu hata kama tumewekea drip tuko hoi kitandani tunaisitisha kwanza ugonjwa na kuanza kusherekea kalio
Ndiyo maana umasikini hauishi.Hapa bongo lazima ulale na mkeo,
Yaan ulale kizungu zungu Kama malkia unakuja shtuka mkeo kashabebwa na wengine,
Bongo kila siku ulale nae na Moto upelekee
huwa naangalia movie za wazungu naona mara nyingi wanalala kila mtu kwake ukimiss mwenzako unaenda kulala kwake ila baada ya hapo kila mtu ana lala kwakeSioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Utajiri ni dhana tuu mkuu, Sisi wasukuma utajiri wetu ni mke watoto na ngombe.Ndiyo maana umasikini hauishi.
nakuunga mkono asilimia 100%Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Pamoja nao hata wazee wetu wa zamani na wa sasa ila walioko huko vijijini ndio mfumo wa maisha yao ulivyo, ila sisi vijana wa bongo kulala na mwenzi mmekumbatiana usiku kuchwa , mchana kutwa mna bebisha kubusiana kushikana shikana baada ya mwaka mnakinaina nakuchokana kinachoendelea hapo ni kukerana na kuachana moja kwa moja.Maisha ya Wafalme wa Uingereza haya.
Prince Philip na Queen Elizabeth wslijuwa wanaishi hivyo.
Ila wabongo wengi hawawezi kukuelewa.
Utajiri ni dhana tuu mkuu, Sisi wasukuma utajiri wetu ni mke watoto na ngombe.Ndiyo maana umasikini hauishi.
Hayo mambo sio yakuiga kabisaaahuwa naangalia movie za wazungu naona mara nyingi wanalala kila mtu kwake ukimiss mwenzako unaenda kulala kwake ila baada ya hapo kila mtu ana lala kwake