Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,762
- 3,362
I like that.Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I like that.Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Itaniokoa ili kijambo kmfikie vizuri?Karibu huku uone mambo zilivyo matamu tena nakushauri kitanda kiwe kidogo tu ukigeuka huyu hapa. 😂😂😂 Wachana na king size bed. Tena kwa nyie Chaggasbarbie wenye flat screen itakuokoa sana😂😂😂
😂😂😂Chizi wewe. Hilo ndio unalolipenda tu.😏😏😏Itaniokoa ili kijambo kmfikie vizuri?
Kwahiyo mkuu hiyo ndio maana halisi ya ukiitajika utaitwa kumbeWazee wa zamani walikuwa wanalala room tofauti au vitanda tofauti. Kuna kitanda cha baba hiko special tu hakilaliwi na mtu isipokuwa mama mtu tu akihitajika ndio anajumuika na mshua.
Inapendeza wanandoa kila mtu anakuwa na nyumba yake,mnakuwa mnatembeleana
Inapendeza wanandoa kila mtu akawa anaishi wilaya tofauti mkawa mnatembeleana
Ni nzuri zaidi kama mkiishi nchi tofauti.
😂😂😂 Nawashukuru sana.Itapendeza kama mtaishi mabara tofauti mwingine Asia mwingine Europe
Weka mkono kuzunguka kiuno km unampenda zitaisha na utapata wazo lakutatua kinachokusibu god created creatures for purposeMoja kwa moja.....wenye ndoa zao....mkilala...ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress...zako kibao sana.....huwa ni kama kero na stress zaidi....
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendiiiii
Eeh ukihitajika utaitwaKwahiyo mkuu hiyo ndio maana halisi ya ukiitajika utaitwa kumbe
Na ndivyo ilivyokuwa hata kwa wazee wetu, ndio maana ndoa zao hazikuwahi kuwa na migogoro.
Usipende sana hiyo tabia, wanaume wa siku hizi wako wired negative😀😀😀wakiona daily ndio tabia yako wataanza kuhitaji visivyolika, I warn you!!Itaniokoa ili kijambo kmfikie vizuri?
Babu kuna aina ya stress mtu ukizipata hata uume unasahau kama unao... omba yasikukute tu.Kweli tatizo la nguvu za kiume ni kubwa naodeizi
Yaani unasogezewa mzigo unashindwa kupiga hata kimoja ndiyo ulale
Hata kama mna stress kiasi gani hakikisha Mkeo/mpenzi wako unampiga hata kimoja
Bila kusahau morning glory ya saa 11 alfajiri
Bora tumezeeka sasa 🙌
Hata kama ningekuwa nimeoa au ningekua na mwanamke silali na mwanamkeUmeoa? Unamke? Unaishi na mwanamke?
Uzi ni picha.Moja kwa moja.....wenye ndoa zao....mkilala...ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress...zako kibao sana.....huwa ni kama kero na stress zaidi....
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendiiiii
Unatudhalilisha wanaumeMoja kwa moja.....wenye ndoa zao....mkilala...ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress...zako kibao sana.....huwa ni kama kero na stress zaidi....
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendiiiii
Ndoa za hivo zinadumuInapendeza wanandoa kila mtu akawa anaishi wilaya tofauti mkawa mnatembeleana
WeeeeeeeUsipende sana hiyo tabia, wanaume wa siku hizi wako wired negative😀😀😀wakiona daily ndio tabia yako wataanza kuhitaji visivyolika, I warn you!!
Sijawahi lala na mtu nifululize siku tatu hivi mbona ngemshangaza😂😂😂😂😂😂😂😂Chizi wewe. Hilo ndio unalolipenda tu.😏😏
Sipendi kubanana,kwanza nilizoea kulala mwenyewe.Karibu huku uone mambo zilivyo matamu tena nakushauri kitanda kiwe kidogo tu ukigeuka huyu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23] Wachana na king size bed. Tena kwa nyie Chaggasbarbie wenye flat screen itakuokoa sana[emoji23][emoji23][emoji23]