Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Moja kwa moja.....wenye ndoa zao....mkilala...ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress...zako kibao sana.....huwa ni kama kero na stress zaidi....
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendiiiii
Ukigeuziwa hivo ndosafi unaipigia bao kwenye angle of elevetion, unaondoa sitresi
 
Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
🤔🤔Hii niliwahi kuisikia kwa mwanasaikolojia Mmoja lakini sikuelewa.
Lakini sio vyumba tofauti ni vitanda tu.😁😂 Sio kwangu Mimi tena nataka tupunguze ukubwa kiwe Cha futi 6 kwa 2 kama vya Bweni au jeshi. Tubanane vizuri🤸🤸
 
Mimi siwezi kwa kweli, bora ni lale chini kuliko kulala na mtu, nadhani ni mazoea toka utoto wangu nilikua nalala peke yangu.
 
Kweli tatizo la nguvu za kiume ni kubwa naodeizi

Yaani unasogezewa mzigo unashindwa kupiga hata kimoja ndiyo ulale

Hata kama mna stress kiasi gani hakikisha Mkeo/mpenzi wako unampiga hata kimoja

Bila kusahau morning glory ya saa 11 alfajiri

Bora tumezeeka sasa 🙌
 
Stress ya kumtia mimba housegirl mboo haiwezi simama Abadan...
 
Back
Top Bottom