Ukifanyiwa hivi katika ndoa inaongeza stress

Mtazama wako tu bro, tunauzoefu wa issue ndio maana tunaongea hivyo.
 
Moja kwa moja, wenye ndoa zao mkilala ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress zako kibao sana, huwa ni kama kero na stress zaidi.

Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendi.
Hahaha
 
Sioni umuhimu wa kulala wawili kutanda kimoja labda mazingira yawe yamebana sana, lakini hamna raha kama kulala kila mtu na kitanda chake, ikibidi hata chumba kila mtu na chake.
Sasa hapo patakua na ndoa kweli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…