Ukifikiria kiundani hili la kununua maji ya kunywa ni ulimbukeni na ushamba

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.

Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama

Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
 
Dogo acha kuaribia watu biashara zao
 
Umaskini bwana angalia ATM inavyokutazama ukitoa pesa za kutonunua maji
IMG_1909.jpeg
 
Mm naona wa wa kule dar ndio wanaongoza kulingana na maji mengi ya mabomba ya CCM c salama sanaaa Kwa afyaaa penginepo..

Ila km pesa ipo kwann bwana mkubwa ujinyime hata kunywa maji ya chupa na ww ss,,,una mwisho kama wino Kwenye kalamu ujuee mkuu..
 
Kadri unakuwa Kinga za mwili zinapoteza nguvu hivyo Kinga yako ilihimili maji yasiyo Safi udogoni..

Pili maji ya leo yamechafuliwa zaidi kuliko zamani

Tatu gharama ya wewe kulala ndani kwa sababu ya kusave 1000 ya maji ni ulimbukeni unatishia ustawi wa familia na maamuzi yasiyofiriwa vema

Kuna familia zingine vinegar inatumika kuonyea matunda
sikuzote ukiwa na pesa ambazo hazina mipango, lazima utafanya matumizi ya hovyo.
 
Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.

Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama

Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Usipend kuwapangia watu namna ya kuishi, ww kama huchemshi maji endelea na wale wanaochemsha waache wafanye hivyo Kila mtu atapambana na Hali yake Kwa muda wake
 
Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.

Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama

Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Mimi mwenyewe nilikunywa sana maji yale ya mto unaimana kwa mdomo hadi mtoni unavuta maji kwenye Barrel la kooni kama Ng'ombe. Lakini kwa sasa Mungu ameniona. Lazima nifurahie matunda.
 
Kwa kimjini mjini jifunze ku mind your business for your own safety.

sio kwamba ni ushamba, ila sometime watu hawa pendi interaction ya ajabu ajabu.

eti ngo ngo ngo Kiranga naomba maji ya kunywa, una weza pewa jibu au maji ya bafuni kudadadeki 🤣🤣
 
Mimi huwa nakinga maji ya dawasa nakunywa fresh Alhamdullilah sijawahi pTa magonjwa ya tumbo kutokana na maji,

Japo kila mtu ana matumizi na pesa yake so mbaya,,

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.

Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama

Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Unapata faida gani kuongea kitu cha kuhadaa watu ili hali wewe hufanyi ivo na kuita watu washamba kwa kutumia hela zao na hawajawahi kukuomba uwanunulie maji.
Au unatafuta umaarufu.
 
Tatizo kubwa nilionalo mimi NI ladha ya maji..hujakaa Lindi au mtwara maji Yana chumvi sasa hayakati kitu cha kufanya labda NI kuvuna ya mvua kuyahifadhi pazuri Kiya treat au kuyachemsha
 
Back
Top Bottom